Ni kweli aliumwa ila sikumbuki ni kwa muda gani kwa kuwa nilikuwa mdogo na sasa imeshapita miaka mingi
Kuna kitu kitatokea .
Siyo imani wala nini...inawezekana wazazi wangu walimpeleka hospitali lakini alizidiwa tuu.Tumepoteza sana ndugu zetu kwa imani kama hizo. Familia ikiwa na mgonjwa na kisha kumuona Bundi basi inakata tamaa badala ya kumpeleka mgonjwa hospitali.
Umekosea, ni 1,3,7,11,13, 17na 19 na jumla ni tarakimu 7. Sasa kwa kuanzia Leo moja imetick tusubiri kesho kutwa na j3 ijayo mwanawaneukimuona bundi anatoa taarifa mbaya
ndani ya siku 7,9,15,21au27
Mkuu huwa naheshimu sana michango yako humu ila hapa umejibu kijinga na kipuuzi, huwa mimi binafsi siamini sana haya mambo ila nakumbuka nikiwa kijana mdogo bundi alikuja kwetu akakaa juu ya mti kwa siku mbili mfululizo babu yetu kipindi hicho akasema ile sio dalili nzuri.Unafahamu ni kwa nini Bundi alikaa muda wote huo hapo nyumbani kwenu? Kwa vyovyote vile, Mdogo wako alikuwa mgonjwa sana na hivi alikuwa anatoa Harufu ambayo ninyi haikuwa rahisi kui-detect lakini kwa kuwa Bundi ni very sensitive to smell, basi yeye alikuwa hapo akivizia mawindo akihisi sehemu hiyo kuna mzoga. Vinginevyo,Bundi hana uhusiano wowote na kufariki kwa Mdogo wako.
Kama Bundi ndiye alikuwa anahusika na kifo cha mdogo wenu, ni kwa nini akae hapo wiki nzima? Kama ana uwezo Wa kumchukua mtu au kumfanya afe,kwa nini asubirie muda wote huo?
Bindi ni ndege kama ndege wengine, sema ana tumiwa sana na madingiiilai wa ku fly night mear,
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndio sasa unataka kuwatisha watu zaidi ya kuwafariji. Unataka kumaanisha kuwa tayari ameletwa hapo mjengoni na harufu ya kifo? Ni nani humo bungeni aliyekwisha kuwa na dead cells? Ili ikiwezekana awahishwe India??!!Amepita pitaje?? Kwenye nyufa au kwenye kuta??..
Ila kama mdau hapo alivyoelezea, bundi kisayansi wako very sensitive to the smell of dead cells..
Wanasayansi wa wanyama na ndege kupitia vipindi kama Nat Geo Wild wanafanya tafiti deep sana za hawa viumbe wanaotuzunguka na kwa kweli kuna vitu vingi sana muhimu vya kujifunza kupitia wanyama, ndege na hata wadudu.. Natamani tungeweza kuipata hiyo sayansi na vifaa kupata maarifa yaliyo wazi lakini yote kheri..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bundi ni ndege pekee mwenye uwezo mkubwa wa kunusa seli za kiumbe hai zinapoanza kufa. Akishapata harufu yake anasogea akidhani kuna mzoga kumbe ni binadamu mgonjwa yumo ndani kalala hoi anakaribia kukata roho. Hakuna uchawi hapoMimi nafikiri kuna kitu bundi anahisi ambacho sisi binadamu hatukioni.
Yeah ndio ilivyo ...wataalamu wanasema kwamba anauwezo mkubwa " wakugundua wakunusa kiasi kwamba never zake huwa zinampatia taarifa Kwamba kiumbe fulani kimepunguza chembe chembe hai mwilini na Muda sio mrefu kitakufa ...so bundi huwa anaenda mpaka karibu na makazi ya hicho kiumbe akitumaini kwamba kikifa anaweza kujipatia mzoga .... kuna thread ambayo imewahi kueleza kwakina kuhusu hilo humu .....Mimi nafikiri kuna kitu bundi anahisi ambacho sisi binadamu hatukioni.
bundi ni ndege anaye ishi kwa kufanya shughuli zake za asili usiku na mchana huwa analala.hivyo huenda hapo bungeni ndiyo makazi yake au ndiyo katafuta makaz