Bundi aingia ndani ya ukumbi wa Bunge leo asubuhi

Mwaka 86 bundi alikaa kwa juu ya paa kwa Mjomba ksa wiki moja baada ya hapo mke wa mjomba aliumwa sana kam mwezi hivi hadi alipopelekwa kunako Africa insuarence
Mimi nafikiri kuna kitu bundi anahisi ambacho sisi binadamu hatukioni.
 
Muangalie alivyo jawa na hofu
Ndugai aendelee tu na mipango yake miovu.
FB_IMG_1548747047320.jpeg


In God we Trust
 
Mjadala was 1.5 tirioni lini maana haya majitu ya ile kanda kuua vikongwe albino ugomvi wa nani achinje na chenge na unga
 
Back
Top Bottom