Uchaguzi 2020 Bunda: Haijawahi kutokea Esther Bulaya avunja rekodi akusanya watu kwa maelfu,Wazee wa mji wasema niyeye tu Bunda Mjini Oct 25

Ile barua ya Tunduma uliiona au unajipofusha macho, hivi kama nyie wazee mnajifanya hamuoni itakuaje kwa vijana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, una uhakika gani kama huyu ni MZEE kweli? Unaweza kuta ni kati ya wale vijana wa Lumumba walionunuliwa smart phone kwaajili ya kazi moja tu, Kupamba, Kusifu na Kutukuza utawala wa hovyo wa JIWE.
 
Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Usizeeke vibaya mzee......kwenye umri mkubwa wazee huzungumza kwa busara zaidi siyo ushabiki. Mzee mshabiki always ni yule arosto asiye na mbele wala nyuma. Wewe ni moja ya wazee arosto? Ughaibuni kumekupotezea muda na sasa unatafuta huruma 'nyumbani'?
 
Katika harakati za kuuwa Upinzani Magufuli anaweza kufa yeye kwa presha hahahaa!!
 
Acheni ujinga kwa hio hao wote wamejiandikisha kwenye daftari kujiakikishia kura,je hao wote watapiga kura hata kl waleshajiandikisha,je wote warakuwepo siku ya uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo wanaokuwepo mpaka wakati wa kupiga kura ni wale wanaohudhuria mikutano ya CCM pekee!, ila wa CDM huwa mwisho wa siku wanapotelea hewani!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ndiyo walikwisha laanika hao kwa madhambi yao, msamehe bure Kyoma
Usituone sisi ni wajinga kama wewe...huyo Bulaya anaweza kushiriki kazi za kuieneza CHADEMA apa CHATO?
Hivi unaenda kanisani au mskitini?

In God we Trust
 
Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
Hata udikteta kuweza kunawiri kunatokana na ulegevu wa umma. Lakini watu tukiwa imara kutetea katiba yetu, kutetea uhuru wetu, kutetea haki zetu, hakika kamwe hakutakuwa na mtu yeyote wa kutuburuza, si Polisi, si TISS, si Rais wala CCM.

Tunaburuzwa kwa sababu hatujitambui, tumekubali kuburuzwa, tumekubali katiba yetu ichezewe, tumekubali kura zeru zichezewe. Kabla ya kuwalaumu watawala, CCM na Polisi, yatubidi kujiuliza tumefanya nini kuyagomea kwa njia zote zinazowezekana yale ambayo katiba na sheria zetu haziruhurusu lakini yanafanywa.

Ester Bulaya, anajitambua, ni mpigaji na mlinzi wa katiba na haki zake. Lakini pia wapiga kura wake nao wanajitambua. Huyu ni mzalendo wa kweli. Huwezi kuwa bwege, mtu wa hewala kila kitu, mtu wa kusifia viongozi na serikali hata katika uovu, halafu ukasimama mvele ya watu na kusema wewe na mzalendo.
 
Safi sana, kudo kwake! Na hili linatokea hapa hapa Tanzania? Sasa mwingine atasema "upinzani unazuiliwa kufanya mikutano ya nje"...
ndugu, ina maana hujasoma these last couple of weeks tu at least mikutano 3 ya upinzani imezuiwa (Kibamba, Kigoma, Tunduma, nk)?!!

hata kama ni kula jamani msiwe mnavimbiwa kwa hivi.... mweeee!!!
 
Back
Top Bottom