Uchaguzi 2020 Bunda: Haijawahi kutokea Esther Bulaya avunja rekodi akusanya watu kwa maelfu,Wazee wa mji wasema niyeye tu Bunda Mjini Oct 25

Naona unateseka sana dogo, hiyo ndiyo chadema
Kagomboe bus la Lisu kule bandarini, acha kupoteza muda hapa.
Screenshot_20200222-201605.jpeg


In God we Trust
 
Mkutano wa Mhe. Esther Bulaya Mbunge wa Bunda Mjini (Kiboko ya Wasira) akizungumza na Wananchi wa Jimbo lake hii leo.

Like Kama unamuelewa Komandoo wa Wasira.

Endeleeni kujidanganya kuwa upinzani umekufa sisi kwetu ni vitendo tu. View attachment 1366576

In God we Trust
Kijana wewe ni hatari huangalii sura mradi kuwe na maslahi tu mara hii umeshamrukia bulaya!
 
Back
Top Bottom