IT-Observer
Member
- Aug 27, 2012
- 5
- 4
Wanajamvi habari za wasaa huu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada wa kupata bumper la rav 4 (old model), lile lenye chrome ya silver na fog light.
ila bongo kazi sanaa..yamekatazwa hayo...ukimgonga mtu unamsababishia maumivu makali
Nashukuru, je unajua wapi naweza kulipata
Pump kama hili ni kazi kulipata naomba muda nilitafute nitakujibuWanajamvi habari za wasaa huu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada wa kupata bumper la rav 4 (old model), lile lenye chrome ya silver na fog light.
View attachment 2551538