Atimaye bummm la pili limetema
Atimaye bummm la pili limetema
Mkuu Boom la wapi limetema? UDSM MAIN CAMPUS, DUSE, au wapi? Je ni kweli?Atimaye bummm la pili limetema
Atimaye bummm la pili limetema
Lecturers, professors etc, hawa 'form 1' wenu hamuwapi kazi mpaka wanapata muda wa kufurahia booom?? Mngelikuwa mmewabana kisawasawa hawawezi kuchekelea senti tano hizo. ndio maana products zenu ni maji ya maharage. wape kazi wape kazi!!!!!!!!!!!
kaka hivi unadhani kusoma bila kuwa na uhakika wa kupata mlo kitabu kitaenda sawa?
Na hizo kazi unazosema ukumbuke zinaitaji pesa kwa ajili ya kuprint na kutoa photocopy, sasa bila mkwanja unategemea hao 4m one unaowaita wewe watakuwa ktk hali gani? Ama ulitaka walie badala ya kufurahi kwamba at least wamepunguziwa mzigo kidogo wa mawazo?
Kaka hakuna mamluki kwa taarifa hii
"Mwenge university" tawi la st augustine leo wanachuo wameanza kusign,
kuna kazi usipime mkuu mpaka watu wameanza kuona maisha magumu,baadhi ya wahadhiri wanasema unapopresent semina hakuna kusoma kwenye karatasi lazima utoe from what you understood,na hicho lazima kliwe from your head siyo kusoma sehemuLecturers, professors etc, hawa 'form 1' wenu hamuwapi kazi mpaka wanapata muda wa kufurahia booom?? Mngelikuwa mmewabana kisawasawa hawawezi kuchekelea senti tano hizo. ndio maana products zenu ni maji ya maharage. wape kazi wape kazi!!!!!!!!!!!
Mbona wenye Chuo chao wenyewe hawajapata? Namaanisha wa UD original na wewe unasema chezea UD...UD ipi?DUCE watu tunasaini boom kwa kwenda mbele. Cheze UD weye!