Bummm la pili tayari

[h=2]Wanachuo wa mwaka wa mwaka watatu st joseph songea wagomea[/h]
wanachuo wa mwaka wa tatu wa chuo cha mtakatifu Joseph songea wamegoma kufanya mtihani kwa madai ya kukatywa hela zao walizozipata toka bodi ya mikopo ya elimu ya juu. wanafunzi hao wanadai kiasi cha shilingi 105,000 kwani walistahili kupata sh 472,500 na wamepatiwa sh. 367,500. wanachuo hao walikwenda kwenye ofisi za mkuu wa wilaya kupata ufafanuzi wa hela hizo na mkuu wa wilaya aliwashauri wanachuo hao kuwatuma viongozi wao ili waongee na mkuu wa wilaya pili aliwashauri warudi chuoni na waendelee na taratibu zote za chu na mwisho viongozi wao waje na vielelezo vyote vinavyohusu madai yao. hata hivyo "kuu wa wilaya alowaambia kuwa swala lao alishaongea na mwakilishi wa bodi ya mikopo ili kujua tatizo. Jamani wa JF ebu tujadili tatizo ninini huko bodi ya mikopo ya elimu ya juu? Nawasilisha​
 
Ni kweli kuna matatizo mengi ktk chuo hiki cha wahindi(st joseph songea),wiki 2 zilizopita mwaka wa pili waligoma,leo hii mwaka wa tatu wamagoma hata kufanya mitihani,majina kuhusu hela ya kujikimu inaonyesha kwamba wametumia copy ya mwaka 2010 kitu ambacho kinaleta mkanganyiko Hatuelewi mchawi ni nani kati ya bodi ya mkopo au uongozi wa chuo,wenye tarifa zaidi watusadia maana hata kusign wanafunzi wamegoma
 
Atimaye bummm la pili limetema

Lecturers, professors etc, hawa 'form 1' wenu hamuwapi kazi mpaka wanapata muda wa kufurahia booom?? Mngelikuwa mmewabana kisawasawa hawawezi kuchekelea senti tano hizo. ndio maana products zenu ni maji ya maharage. wape kazi wape kazi!!!!!!!!!!!
 
kaka hivi unadhani kusoma bila kuwa na uhakika wa kupata mlo kitabu kitaenda sawa?
Na hizo kazi unazosema ukumbuke zinaitaji pesa kwa ajili ya kuprint na kutoa photocopy, sasa bila mkwanja unategemea hao 4m one unaowaita wewe watakuwa ktk hali gani? Ama ulitaka walie badala ya kufurahi kwamba at least wamepunguziwa mzigo kidogo wa mawazo?
 
No, wasilie, lakini indication ya lugha aliyoitumia mwenzenu ni kuwa sasa mguu juu. Hakuna haja ya kusema humu, kwani wangapi humu JF wamepata hela leo! Uanafunzi! Kasome, hizo ni hela ndogo. Nyamaza tu maana inaonekana kuna furaha tele kwa ajili ya senti hizo ambayo lazima tuitilie mashaka. Huwezi kuwa na supp inakusubiri/ lecture ya leo hujaelewa kitu na monthly test ni kesho ukafurahia senti hizo. You become happy when you are relaxed. it seems you are relaxed
 
mzitumie vizuri kwa malengo kusudiwa, pesa hizo si haba, ukizitumia vizuri zitakusaidia kukufanya ufuatilie masomo
vizuri na kwa ufasaha, ukizitumia kwa rafu zitakwisha kabla ya siku na ukaanza kuteseka na mara shato pori, kupiga desh hivyo basi kushindwa kufuatilia masomo vizuri.
aidha mtambue pia hizo pia ni kodi za watanzania hivyo basi muwe na uchungu nazo msiwe kama mafisadi wachahe wanaozifisidi kodi zetu, kuweni wazalendo kwenye nchi kuanzia mapema kwa kutumia vizuri na kwa malengo sahihi hizo pesa.
 
mbombo ngafu
:target::target::target::cheer2::cheer2::cheer2::smow::behindsofa:
 
Lecturers, professors etc, hawa 'form 1' wenu hamuwapi kazi mpaka wanapata muda wa kufurahia booom?? Mngelikuwa mmewabana kisawasawa hawawezi kuchekelea senti tano hizo. ndio maana products zenu ni maji ya maharage. wape kazi wape kazi!!!!!!!!!!!
kuna kazi usipime mkuu mpaka watu wameanza kuona maisha magumu,baadhi ya wahadhiri wanasema unapopresent semina hakuna kusoma kwenye karatasi lazima utoe from what you understood,na hicho lazima kliwe from your head siyo kusoma sehemu
 
Back
Top Bottom