Bummm la pili tayari

Mbona wenye Chuo chao wenyewe hawajapata? Namaanisha wa UD original na wewe unasema chezea UD...UD ipi?
Hivi tukisema uoneshe UD original ilipo utaweza? nijuavyo pale kuna CONAS,COET,SOED,COICT,that means DUCE ni kama COET, au SOED,hapo kwenye Rangi ulimaanisha nini? UD Original iko wapi?
 
Swali langu lilikuwa mtu anaposema chezea UD wewe wakati yupo DUCE na wale wa UD...i.e wa Main Campus hawajapata boom anataka kumaanisha nini? Kama unadhani SOED ni sawa na DUCE utakuwa umechemka
 
Uko chuo gani mkuu?naona kila dalili za jf kuvamiwa na mamluki

Haha ha hahahaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Jamani, kweli umenifurahisha. Hongera kijana. Kachukue hilo bummmm, urudi jamvini tubadilishane mawazo kabla hujaenda kufanya paper works.

Hongera sana.
 
wenzenu wanafurahia faida nyie mnafurahia mkopo???? ndo maana kiongozi wa nchi anakazana kila siku kutafuta mikopo....maisha yanasonga na madeni yanaongezeka!!!!
 
Kawaida ya Binadamu au Mnyama yeyote hawezi kukosentret kama tumbo liko wazi, hata ukimpa kazi hawezi kufanya vizuri koz akili yake inafikiria jinsi ya kuishi which is the primary objective ya kila kiumbe hai (hata mimeya inasinyaa )!
wacha wafurahie Boom ili akili zao zikae sawa watashughulikiwa tu!

Lecturers, professors etc, hawa 'form 1' wenu hamuwapi kazi mpaka wanapata muda wa kufurahia booom?? Mngelikuwa mmewabana kisawasawa hawawezi kuchekelea senti tano hizo. ndio maana products zenu ni maji ya maharage. wape kazi wape kazi!!!!!!!!!!!
 
Swali langu lilikuwa mtu anaposema chezea UD wewe wakati yupo DUCE na wale wa UD...i.e wa Main Campus hawajapata boom anataka kumaanisha nini? Kama unadhani SOED ni sawa na DUCE utakuwa umechemka[
Jibu sahihi ungesema watu wa college fulani hawajapata,na sio wenye UD original,because there is nothing known as wenye UD Original,ila nakubaliana na wewe kuwa kuna main campus but that doesnot make one kusema wenye UD original,maana yake kuna fake yakena sijui ipo wapi hiyo
 
Tukubaliane kutokubaliana....kwa sababu inaoenekana umepata shida sana kwa neno original... Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kubwa kati ya COET,UDSL,UDBS,SOED na CASS (Main Campus) kwa upande mmoja na DUCE au MUCE kwa upande mwingine. Mambo yao ni almost yanajitegemea na kwa hiyo mtu anaposema UD tumeshapata....aangalie admission letter yake inasemaje?
 
nimekupata baada ya kusema kuwa aliyepost maada hakutakiwa kusema UD bcoz kuna sehemu walikuwa hawajapata.But you were wrong kusema wenye original
 
  • Thanks
Reactions: SG8
aiseeeee babaangu ngoja nimpigi baba mkandala nimulize au ngoja nijaribu ya maboko au dr kitila
 
Tukubaliane kutokubaliana....kwa sababu inaoenekana umepata shida sana kwa neno original... Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kubwa kati ya COET,UDSL,UDBS,SOED na CASS (Main Campus) kwa upande mmoja na DUCE au MUCE kwa upande mwingine. Mambo yao ni almost yanajitegemea na kwa hiyo mtu anaposema UD tumeshapata....aangalie admission letter yake inasemaje?
Kama vipi nenda uangalie vile vitambulisho vyao.Vitambulisho vyote vinaonesha UD isipokuwa pale chini vinaonesha College uliyo,hata kwenye admission barua ni ya UDM ila inaonesha kuwa umekuwa allocated college fulani.Offcourse just like that I have understood what you meant.Nadhani ulitaka kusemawale wa main campus hawajapata ila ulitumia msamiati ambao haukuwa sahihi.
 
MUCE na DUCE mambo yao wala hayjitegemei,nguvu aliyo nayo principal wa CONAS ndiyo hiyohiyo aliyo nayo wa MUCE/DUCE,tofauti yao ni Distance from main Campus
 
Humu ndani hata hatufahamiani, unajua kama I'm talking from horse' mouth? Kaulize status ya Mukandala MUCE/DUCE ndio utajua tofauti otherwise tutakuwa tunachangamsha jukwaa tu hapa.
 
Kama vipi nenda uangalie vile vitambulisho vyao.Vitambulisho vyote vinaonesha UD isipokuwa pale chini vinaonesha College uliyo,hata kwenye admission barua ni ya UDM ila inaonesha kuwa umekuwa allocated college fulani.Offcourse just like that I have understood what you meant.Nadhani ulitaka kusemawale wa main campus hawajapata ila ulitumia msamiati ambao haukuwa sahihi.
Ngoja nifanye utafiti Mkuu....Uziri nipo jirani sana na hizi Taasisi zote 3,
 
Back
Top Bottom