Bulembo matatani uuzwaji shule ya sekondari Tegeta

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,133
164,554
Walimu wa shule ya sekondari wamemlalamikia mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi CCM kwa kushindwa kuwalipa madai yao baada ya kuiuxa shule hiyo kwa chuo kikuu Mzumbe.Wamemwomba Rais Magufuli aingilie kati kwani shule hiyo imeuzwa kwa sh 3.5billion na wao madai yao hayazidi sh 500million.Wamedai pia makato yao ya mifuko ya kijamii hayajawasilishwa kwa zaidi ya miaka 10.Alipoulizwa swala hili katibu wa wazazi ccm alisema jambo hili aulizwe Bulembo.Naye Bulembo alitafutwa alisema angelitolea ufafanuzi leo jumamosi lakini leo alipotafutwa simu yake iliita bila kupokelewa.Chanzo Star Tv Taarifa ya Habari
 
Wasitegemee hatua yoyote kuchukuliwa....

KULINDANA NI KULE KULE...

Waendelee tu kuisoma namba..

Tuliwaambia Waalimu wetu wapendwa, "TUSIMCHAGUE HUYU MTU KWANI HATOSHI", lakini hawakutuelewa...

Vumilieni tu Waalimu wetu, uchaguzi ujao turekebishe.
 
Back
Top Bottom