Arv fake Madabida
Basi jamani nimeinua mikono juu. Anisamehe kwa kumuwazia mabaya
Arv fake Madabida
Not true at all..kumbuka ndani ya nchi yetu ndo wanaamua kipi kifanyike na kipi kisifanyike,ndo wenye last voice,jitoe ufahamu tu
Kwenye kuuzwa ile shule wasimwache na Makoyola[/Makoyolaamekuwa amekuwa
Makoyola amejichokeaKwenye kuuzwa ile shule wasimwache na Makoyola
Madabida ni mwenyekiti CCM Mkoa wa Dar!! Sio cheo kikubwa???Madabida hajawahi kupata nafasi kubwa hivyo. Wewe ndo unawachanganya