Bulembo matatani uuzwaji shule ya sekondari Tegeta

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,537
Walimu wa shule ya sekondari wamemlalamikia mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi CCM kwa kushindwa kuwalipa madai yao baada ya kuiuxa shule hiyo kwa chuo kikuu Mzumbe.Wamemwomba Rais Magufuli aingilie kati kwani shule hiyo imeuzwa kwa sh 3.5billion na wao madai yao hayazidi sh 500million.Wamedai pia makato yao ya mifuko ya kijamii hayajawasilishwa kwa zaidi ya miaka 10.Alipoulizwa swala hili katibu wa wazazi ccm alisema jambo hili aulizwe Bulembo.Naye Bulembo alitafutwa alisema angelitolea ufafanuzi leo jumamosi lakini leo alipotafutwa simu yake iliita bila kupokelewa.Chanzo Star Tv Taarifa ya Habari
 
Wasitegemee hatua yoyote kuchukuliwa....

KULINDANA NI KULE KULE...

Waendelee tu kuisoma namba..

Tuliwaambia Waalimu wetu wapendwa, "TUSIMCHAGUE HUYU MTU KWANI HATOSHI", lakini hawakutuelewa...

Vumilieni tu Waalimu wetu, uchaguzi ujao turekebishe.
 
CCM ndiyo kitovu cha ufisadi.

Bulembo ni mteule wa rais bungeni malipo baada ya kazi yake ya ukampeni meneja.

Je, Mwenyekiti wa CCM atathubutu kumuadhibu huyu kampeni meneja wake??
huyo ni kama Daud Albert Bashite hawezi kuguswa hilo soo litazimwa kimya kimya ingawa Wapinzani wanajipanga kulikomalia zaidi.
 
Back
Top Bottom