LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,196
- 14,900
Hapo ndipo mwisho wa akili yake, kama elimu yake ndiyo inavyo julikana atawezaje kuipambanua bajeti. Jamaa yuko kama waandishi wa gazeti lile la kufungia vitumbua mitaa ya Kariakoo, maana nao walitoka na mpya jana.Kwanza anaanza kwa kuipongeza bajeti. Anasema bajeti hii ni chereko chereko kwa wananchi wote. Namnukuu "Tiyari(sio tayari) milioni 50 kila kijiji,tiyari mahakama ya mafisadi".
Akiongea na ITV ofisini kwake Bulembo anasema ahadi zitatekelezwa.
MY TAKE:Wana CCM jikiteni kwenye uchambuzi badala ya kuongea mambo jumla jumla tena juu juu.
Hawa jamaa wako kwa ajili ya matumbo yao na familia zao.
Lakini tutatoboa....