Bulembo: Bajeti hii ni chereko chereko

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,090
114,636
Kwanza anaanza kwa kuipongeza bajeti. Anasema bajeti hii ni chereko chereko kwa wananchi wote. Namnukuu "Tiyari(sio tayari) milioni 50 kila kijiji,tiyari mahakama ya mafisadi".

Akiongea na ITV ofisini kwake Bulembo anasema ahadi zitatekelezwa.

MY TAKE:Wana CCM jikiteni kwenye uchambuzi badala ya kuongea mambo jumla jumla tena juu juu.
 
Kwanza anaanza kwa kuipongeza bajeti. Anasema bajeti hii ni chereko chereko kwa wananchi wote. Namnukuu "Tiyari(sio tayari) milioni 50 kila kijiji,tiyari mahakama ya mafisadi"
Kuna kupanga na kutimiza tuombe Mungu mambo yawe mazuri
 
Ukiona unabajeti yako alafu unategemea ukope ili ikamilike ujue Hali yako bado ngumu
 
Angeongea kaongea Katibu mpya msomi kuliko wote wa ufipa , sizan kama mngekuja na mapovu, shame ufipa
 
Hii bajeti nzuri sana....imejikita kwenye ujenzi wa viwanda......tanzania ya viwanda inakuja tuvute subira
 
Anayejua matokeo yake tafadhali, maana ndio alikuwa meneja kampeni.
 
Chereko labda huko magambani kwa sababu wamezoe kuiba. Mali za umma bila hivyo hii bajeti inamakengeza vibaya mno.
 
Kwanza anaanza kwa kuipongeza bajeti. Anasema bajeti hii ni chereko chereko kwa wananchi wote. Namnukuu "Tiyari(sio tayari) milioni 50 kila kijiji,tiyari mahakama ya mafisadi".

Akiongea na ITV ofisini kwake Bulembo anasema ahadi zitatekelezwa.

MY TAKE:Wana CCM jikiteni kwenye uchambuzi badala ya kuongea mambo jumla jumla tena juu juu.
Hivi unategemea burembo ataongea nini zaidi ya kuoa pongezi kwa serikali ya CCM?
 
Back
Top Bottom