Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Kumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
Huu uzi wa kitoto sana. Halafu naona wana JF humu nao wamevutika kwa mjadala usio na tija. Mi natoka Lindi tuanze basi mjadala kati ya lindi na singida
 
Mleta MADA lazima awe mhaya kwanza picha ya Mo town iko moja za bk lukuki. unalinganisha vp hicho kiwanja na KIA? bk Nimeshafika huwezi Pata nyama choma mchana zaidi ya ndizi zilizochanganywa na maharage na wengi wao wanakula chakula kingi kwa wakati mmoja lakini sio kizuri. Club yao wala haiwezi kusogelea club la Liga. Mapato ndiyo kabisa, Hata akili ya kutafuta PESA hakuna wamekariri kuigana.
 
Mtu anayefananisha mji wa moshi na bukoba anatakiwa apimwe akili.maana kwa vigezo vyote muhimu moshi beat bukoba far way.unalinganishaje mji unaokusanya kodi bil 200 vs bil 10s.au hata ukija kwene majengo.mji wa moshi wana majengo zaid ya 5 storey karibu 20 huku wakijenga 15 storey saiv ipo gorofa ya 10. Hata dodoma kimajengo inapitwa mbali sana na moshi.
 
Achilia mbali uchafu wa mitaani kuna Ule wa kitandani. kama Bk pangekua sehemu ya Biashara lile jengo la NSSF wangejenga Bk. Ttzo Lao wamekimbilia dar ili waonekane wakati moshi hata pa kujenga ni ishu labda viwanja /mashamba ya Familia.
 
Club zilizopo bk ni rwabizi,cassanova,sky,linaz,bukoba club,yassira,psk club,liquid lounge na nyingine nyingi sizazitaja hasa za tarafa ya rwamishenye kusini mwa bk
 
Kama vp taja walau Hoteli kubwa tano za kitalii Bk.
Hotel ni nyingi kama walkguard hotel,bukoba kolping hotel,victorious perch hotel,smart hotel,perfect hotel,transit, coffee tree hotel,sky motel,bugabo house hotel,bijampola hotel,elct hotel,lake view hotel,spice beach hotel,Stella hotel,prince motel na nyingine nyingi zilizopo rwamishenye kusini mwa bukoba na kama hujui bukoba kunajengwa shopping mall mtaa Wa miembeni.nk
 
Bukoba ni miongoni mwa mikoa minne maskini Tanzania unalinganisha na Moshi(Kilimanjaro)mkoa unaoongoza kwa human Development index kwa mujibu wa Hansard ta Bunge
 
Umebugi kwa bukoba sio mkoa ni wilaya mkoa ni kagera wenye wilaya za biharamulo, muleba.misenyi,ngara,kyerwa,karagwe na bukoba mjini
 
Acheni kurudia picha
Samahani narudia tena picha ya mshikaji lakini nakuoneshea njinsi Alivyokupiga bao we niletee picha iliyopigwa kwa Drone ambayo inaonesha mji/mkoa sehemu yoyote ya bk iliyopgangika kama hii picha inavyoonekana hapo najua
203ad46ba79acc4be88c9c9b2e21ded3.jpg


kama huna kubali umeahindwa labda ukaibe za mwanza ila kama huna kubali umeshindwa kilimanjaro imeipiga bonge la bao kagera kuna vitu vingi kagera hakuna, hata lami kwenu shida ulishakiri kuna vitu kagera ni uhaba tatuzo lenu wahaya mnatafuta sifa kwenye miji ya watu huku mkiacha mkoa wenu ukia taabani, anyway niletee picha bk inayoonesha kama ivyo alafu tuone
 
Huu mtanange sijui kama utaishaga tukae chini tujenge miji yetu ipendeze ila lengo kubwa la Uzi huu ni utalii Wa ndani wengi wetu hatujui miji yetu bongo ilivyo lengo ni kuonesha changamoto matatizo na mafanikio katika miji mingine tofauti na dar.bukoba na moshi ni miji miwili tofauti mno kwanza bukoba ni mji Wa milima na mawa kama mwanza moshi ni mji Wa tambarare kama arusha idadi ya watu miji inaelekeana na moshi ni mji Wa kitalii hivyo barabara na miundombinu lazima iwe mizuri lakini bukoba ni mji unaojikuza tu ndo maana kimajengo uko juu na umepanuka mno kuliko moshi hivyo basi ni vigumu mno kulinganisha miji hii miwili maarufu
 
Huu mtanange sijui kama utaishaga tukae chini tujenge miji yetu ipendeze ila lengo kubwa la Uzi huu ni utalii Wa ndani wengi wetu hatujui miji yetu bongo ilivyo lengo ni kuonesha changamoto matatizo na mafanikio katika miji mingine tofauti na dar.bukoba na moshi ni miji miwili tofauti mno kwanza bukoba ni mji Wa milima na mawa kama mwanza moshi ni mji Wa tambarare kama arusha idadi ya watu miji inaelekeana na moshi ni mji Wa kitalii hivyo barabara na miundombinu lazima iwe mizuri lakini bukoba ni mji unaojikuza tu ndo maana kimajengo uko juu na umepanuka mno kuliko moshi hivyo basi ni vigumu mno kulinganisha miji hii miwili maarufu
Asiyekubali kushindwa sio mshindani kubali tu chalii yangu ardhi haiwezi badilika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom