luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,918
@instanbulUzuri Ni kwamba Moshi nimekaa na kusoma almost 12yrs nimesoma mawenzi pr, old Moshi sec naijua Moshi yote parokia na vigango miss ya papa Paul 2 mwaka 90 nimetumikia hapo Christ the king cathedral, kibosho, kilema kuhiji nimetumikia pale na askofu amedeus rip, kwa bukoba nimesali parokiani pale mjini, ngara kwa fr askofu niyemugizi,kilaini, karagwe, muleba pale rubya, na sehemu Moja BK vijijini Jimbo la mughana wanapohiji kwakweli bukoba Bado ningetupia na picha sema tu net ipo low picha zipo ktk Gmail, Moshi juuuuuuuuuu!!!!
Hivi hawa jamaa mbona wanakaubaguzi fulani hivi! Sasa anasema Moshi ilikuwa Dora kamili na anasema ingeachwa, hajui kulikuwa na Dora za maana sana kuliko hiyo ya ukabila, nakupa Dora zilizokuwa zimeshiba Mkwawa (mkwava),*[emoji115]Malisa ampinga Polepole kwa fact*
Huyu dogo ameanza kuchanganyikiwa. Moshi ilianza kuendelea zamani za pontio pilato kabla ya ujio wa Dr.Livingstone na Gavana Edward Twining.
Mwaka 1902 barabara zinazounganisha mitaa mbalimbali ya Moshi zilikuwa na lami, enzi hizo CCM haijazaliwa, mama yake TANU wala bibi yake TAA.
Mwaka 1895 Ikulu ya kwanza ya kisasa ya Mangi mkuu wa wachagga ilijengwa eneo la KDC Moshi. Ikulu hiyo hadi sasa ndiyo inayotumika kama Ikulu ndogo ya Rais akija mkoani Kilimanjaro.
Mwaka 1917 dola ya wachagga ilikuwa na mfumo rasmi wa serikali na baraza la mawaziri, ikiwa ni pamoja na ofisi na magari kwa watendaji waandamizi wakiwemo mawaziri. Ofisi za mawaziri ndio zinatumika leo kama ofisi za halmashauri ya wilaya ya Moshi.
Miaka 100 iliyopita Moshi kulikuwa na viwanda mbalimbali kikiwemo kiwanda kikubwa zaidi cha kubangua kahawa eneo la Afrika Mashariki. Mwaka 1940 dola ya wachagga tayari ilikuwa na gazeti lake (Komkya), lililokuwa likisomwa maeneo yote ya wachagga kuanzia Siha hadi Rongai. Gazeti hilo liliandikwa kwa lugha ya Kiswahili.
-
Kufikia mwaka 1950 karibu kila kata au tarafa ilikuwa na shule ya sekondari, zahanati au kituo cha afya pamoja na kanisa la kisasa, kuanzia Siha mpaka Tarakea. Sio zote lakini nyingi zilikuwa na shule zilizojengwa na wamisionari miaka mingi sana iliyopita.
Wakati chakubanga na babu yake wanatembea kilomita 50 kwenda kuchoma chanjo ya tetekuwanga, wazee wa kichagga walikua wakipata huduma za afya kwenye vituo vya afya vya mission vilivyopo kwenye kata/tarafa zao.
Leo mtu mmoja pengine kwa sababu ya kukosa chanjo ya pepopunda anaropoka kwamba maendeleo ya Moshi yameletwa na CCM? What a shame.!!
-
Kimsingi CCM na serikali yake zimezorotesha maradufu maendeleo ya Moshi kuliko wakati mwingine wowote katika historia. Moshi ya wakati ule (kama dola yenye mamlaka kamili), na Moshi ya leo (kama wilaya) ni vitu viwili tofauti. Moshi ingeachwa kuwa dola huru kama ilivyokuwa zamani, ingekuwa na maendeleo maradufu kuliko leo.
Halafu kama kweli CCM inaleta maendeleo, mbona kuna mikoa haijawahi kuchagua upinzani na bado haina maendeleo? Kwanini maendeleo hayo CCM isipeleke kwenye ngome zake? Next time mwambieni kabla hajabwatuka ajifunze historia kdg.!!!!!!!!!
Source instagram:Malisa_gj
Itakuwa waliwafanyia kitu kisicho cha haki.Sasa kuna haja ya kufananisha na Bukoba? Mbona kama akili yenu imegandia Kagera? Wahaya waliwabaka?? Mbona kila siku wao?? Nadhani ni wakati wenu wa kujipima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo amejitekenya mwenyewe. Hahahahaha kweli nyie watu mnahangaika kweli@instanbul
sundoka
The Great Haya mmesikia ushuhuda wa mhenga kinusikwetu ?
Uzuri mmoja ukweli haufichiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nipo neutral SI mchaga Wala haya niambie wapi sijagusa? Mughana nimeenda kuhiji July last yr kule ndani chini kwenye chemchem nikatoka nikaja nje pale kwenye msalaba jiran na kanisa nikatoka nikaingia hospital nikarudi BK town uliza wapi BK nikupe jibu mpaka kyerwa yote, mutukura, rusumo, kyaka, k9, bmuloHuyo amejitekenya mwenyewe. Hahahahaha kweli nyie watu mnahangaika kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
We ulitoka kuhiji na unatuletea uongo hapa.kwanza huko mugana kuna majumba ya ajabu na pia uliona jinsi ukatoliki ulivyoshika haswa sio Kwa idadi Ile ya watu .mji wa bukoba unakauka gafla kisa imani Kwa bikira MariaMimi nipo neutral SI mchaga Wala haya niambie wapi sijagusa? Mughana nimeenda kuhiji July last yr kule ndani chini kwenye chemchem nikatoka nikaja nje pale kwenye msalaba jiran na kanisa nikatoka nikaingia hospital nikarudi BK town uliza wapi BK nikupe jibu mpaka kyerwa yote, mutukura, rusumo, kyaka, k9, bmulo
😀😀😀 Aisee mara kwanza nilipofika Bukoba nilichoka kabisa ,ila napapenda tu sababu ya mambo fulaniNaam unaionaje stand inavyovutia? Hadi Leo Kuna wilayan Hakuna stand kama hii ya Moshi ya 1971 mfano bukoba
Cheki picha hapo chini ni stand ya bukoba ya leoView attachment 1011570
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata katika sekta ya viwanda Kagera hawawezi kutufikia Kilimanjaro ipo vizuri sana😀😀😀 Aisee mara kwanza nilipofika Bukoba nilichoka kabisa ,ila napapenda tu sababu ya mambo fulani
Naliona bus la railway kama sijakosea wakati huo EAR
Mletee na la Kibosho ambalo ni la tatu la ukongwe Tanzania baada Kilema na Bagamoyo...,Na mm hapo cjaleta makanisa bab kubwa ya marangu,rombo,kilema no hapo ni mfano tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni mji mdogo wa TarakeaSasa umenitibua nakuletea picha mbalimbali za mitaa ya bukoba bila kugusa mjini Kati hata kidogo yaani suburbs ndo zinaletwa hapa sirudii picha please karibu.ukisikia bukoba ni pazuri ndo huku wanaposema.mkifika huko bukoba msiishie kashai na stendi tembea muoneView attachment 1012755View attachment 1012756View attachment 1012757View attachment 1012758View attachment 1012759View attachment 1012760View attachment 1012761View attachment 1012762View attachment 1012763View attachment 1012764View attachment 1012765View attachment 1012766View attachment 1012767View attachment 1012768View attachment 1012769View attachment 1012770View attachment 1012771View attachment 1012772View attachment 1012773
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanisa la kashozi lilijengwa mwaka 1892 na hadi Leo lipo huko bukoba unaweza ona mapaa yakeMletee na la Kibosho ambalo ni la tatu la ukongwe Tanzania baada Kilema na Bagamoyo...,
NB:1892 na halijawahi fanyiwa ukarabati tangu limejengwa maana ni mawe tupu hadi kwenye paa lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujidanganya kijana,hilo kanisa lingejenwa wakati huo lingekuwa kwenye historia ya ukristo Tanzania....,Kanisa la kashozi lilijengwa mwaka 1892 na hadi Leo lipo huko bukoba unaweza ona mapaa yakeView attachment 1013063
Sent using Jamii Forums mobile app