The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
Hahahaha pole mkuu picha zimekuchoma kunako moyo,jitulize na chupa ya rubisi hahaha na kitafuna zile kahawa zenu za kukaanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimanjaro ndipo wamisionary walitangulia
Ukatoliki na ulutheri upo kwa wingi moshi tena kwa kijiografia mfano
Machame siha,old Moshi ni walutheri 99%
Kibosho,uru,kilema,himo,marangu, rombo ni wakatoliki 99%
Pia ktk majimbo katoliki 34,maaskofu wa kutoka jimbo la moshi ni 11
Moshi ndio ngome ya ukatoliki ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikuwekee za kiangazi sio?
Haya kazi ni kwakoView attachment 1012704
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nimetumikia miss 91 to 95 enzi za paroko Padre AmaniHili hapa .ndo unataka ulinganishe na mater misercodie cathedral ya bukoba.ingawa kuna parokia kama Rubya na itahwa ni kubwa zaidi ya cathedral hiyo.kwenye upande wa dini msiongeee kabisa Kwa sababu bukoba ukatoliki na ulutheri umechimba mizizView attachment 1012676
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam unaionaje stand inavyovutia? Hadi Leo Kuna wilayan Hakuna stand kama hii ya Moshi ya 1971 mfano bukoba
Cheki picha hapo chini ni stand ya bukoba ya leoView attachment 1011570
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisée kumbe kuna wahenga huku salute mkuuHii bus nilipanda mwaka 83 Moshi to Dom via kondoa 48 hrs
Hapo maeneo ya sokoni karibu na Lina's night club na the mint night clubIla bk washamba check mibaiskel ya phonex mjini katikati hahahaView attachment 1012709
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ni la Zaman tofauti na lenu mlilojenga juz Kati tuuHilo ndo unalinganisha na cathedral ya bukoba .yaani linazidiwa na kigango cha bugandika huko kizibaView attachment 1012688
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann wasiamn wakati naweka na fact? HahahaHaha eti mji mdogo, sasa unafikiri kweli watakuhamini kwa hizo pumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Unayafahamu majina HayaKilimanjaro ndipo wamisionary walitangulia
Ukatoliki na ulutheri upo kwa wingi moshi tena kwa kijiografia mfano
Machame siha,old Moshi ni walutheri 99%
Kibosho,uru,kilema,himo,marangu, rombo ni wakatoliki 99%
Pia ktk majimbo katoliki 34,maaskofu wa kutoka jimbo la moshi ni 11
Moshi ndio ngome ya ukatoliki ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ni la Zaman tofauti na lenu mlilojenga juz Kati tuu
Hapo nakubaliana na wew. Ila kwa makanisa ya vijijin hunifikii hata robo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan tajiri(Kilimanjaro) ahangaike kujilinganisha na maskini(kagera) ? Nimeshakwambia madhumuniHaha wewe ndo hulali unaangaika kuanzisha nyuzi ili ujiinganishe na bk. Kweli ww jamaa unataabika sana aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini mnasema uongo Sana .mji wa bukoba hauna usafiri wa baiskeliH
Hapo maeneo ya sokoni karibu na Lina's night club na the mint night club
Vaa miwani utazame haya makanisa ya baadhi ya vijijin huko uchagani