KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,758
- 39,493
Wanakera sana... Mijitu hai tulii ikapambana na hali zao kila siku kushambulia wachaga na kudharau makabila mengine... Bure kabisa...
Sumbawanga hoyeeeHii ni ishara kuwa Kilimanjaro ipo juu.....mti wenye matunda matamu daima hupigwa mawe......
Wapare oyeeeeeee
Wachagaaa oyeeeeeee.......
Kilimanjaro oyeeeeeee.....
Sumbawanga hoyeee
Sumbawanga si iko moshi?Tafadhali fungua uzi mwingine wa Sumbawanga
Usichafue hali ya hewa.....
Sumbawanga si iko moshi?
Yaani ndugu yangu nikiangalia wanazoziita hotel nacheka mpka nakaa chini,wanajua hotel kweli au ndo uhaya unatumika kweli huo mji sio wakushindanishwa na Tarakea au Boma kweli tena Boma nitakuwa naitukana kwelNje ya majiji yetu,manispaa Za hadhi ni Moshi na Dodoma na ndio ziko kwenye Mipango zifanywe Majiji...
Yaani izo picha unazotuma na kuziita hotel unasikitisha sana kijana, izo ni simpe lodge tu na wala hakuna hotel apo!!
Kagera ni moja I mikoa duni Tz masikini kibao, eat that
Me nimemuambia mbona anazopost ni nyumba za watu wa kawaida tu huku marangu akaona namkejeli mwambieninilishamwambia yaan ana post vi lodge anasema at n hotel
yaan wanajifariji hawajui maana ya hotel
waende pale keys hotel,aishi hotel,snow view hotel,kindoroko nk wajue maana ya hotel
hahahaha tatizo LA hawa ndgu zetu n ushamba,kwao bukoba ndo sasa HIV kunakucha ndio wanaanza kujenga vi lodge wanaviita hotelMe nimemuambia mbona anazopost ni nyumba za watu wa kawaida tu huku marangu akaona namkejeli mwambieni
Hilo jengo wanaishi nyoka tu, na likiisha malizika uje upost tena na toka limejengwa lina muda gani hakuna kiumbe chochoteHilo jengo tulipe hili tu la Anna tibaijuka nyumba ya Anna hiyo ya kuishi
afadhali mmeonaYaani ndugu yangu nikiangalia wanazoziita hotel nacheka mpka nakaa chini,wanajua hotel kweli au ndo uhaya unatumika kweli huo mji sio wakushindanishwa na Tarakea au Boma kweli tena Boma nitakuwa naitukana kwel
sumbawanga ni rukwa sio kilimanjaro boss.kwanini?
hahahaha kumbe hakai?Hilo jengo wanaishi nyoka tu, na likiisha malizika uje upost tena na toka limejengwa lina muda gani hakuna kiumbe chochote
Kitu gani hiki sasa majengo hayana watu ni magofu tu vumbi lote hilo kwa hapo tutalicompare na lile jengo la mama ana mkapa kama unaenda rau mdau mwenye picha zake amuwekeeHebu na Mimi niweke la bunazi misenyi
We si umesema bukoba hakuna majengo hayo .shida mnaibeza sana na kupaponda bk sana hasa watu wakilimanjaro ndo maana tumeamua kuwaonesha bukoba halisi inayokua kwa kasi na kupanuka haraka .hilo jengo ni nyumba ya kuishi ya Anna tibaijuka ambayo aliijenga kwa heshima ya Mme wake aliyazaliwa hapo kibeta mlimani na wanaishi ndugu wa Mme wakeHilo jengo wanaishi nyoka tu, na likiisha malizika uje upost tena na toka limejengwa lina muda gani hakuna kiumbe chochote
Ni sawa ni moshi airport lakin huwez ulinganisha na huo wa bk kwa idadi ya ndege zinazoingia na kutokaHuu mbona upo hai mkuu uwanja wa moshi huu hapaau unakataa Hai ndo kuna kia sio moshi
nikimuwekea anaweza zimiaKitu gani hiki sasa majengo hayana watu ni magofu tu vumbi lote hilo kwa hapo tutalicompare na lile jengo la mama ana mkapa kama unaenda rau mdau mwenye picha zake amuwekee