MBONA KAMA BAR YA MASSAWE TOFAUTI NI HAYO MAANDISHI YA BUKOBA AIRPORTOK hii ni bukoba aiportmagufuli amashaanza mchakato wa kuipanua zaidi ifikie km 2 ili jengo la wasafiri linalopokea watu laki 5 kwa mwaka sawa na terminal 1 ya jkIA liweze kutumika ipasavyo na ndege kubwa ziweze kutua pale kisa wingi wa wasafiri wanaoelekea bukoba.na pia kashozi road itaamishiwa migera ili upanuzi ufanyike watu walishaanza kuhamishwa
nimevunjika mbavu sio kwa kicheko hikiMBONA KAMA BAR YA MASSAWE TOFAUTI NI HAYO MAANDISHI YA BUKOBA AIRPORT
nilishamwambia yaan ana post vi lodge anasema at n hotelPicha zenyew bk ni za kurudia rudia tu mara lile sijuu ni kanisa limewekwa mara 39 na majengo ambayo hayajaisha na vile vilodge anasema hotel wtf. Mbaya zaidi umejipanga kuanza kuzunguka ili urudi kubishana wakati picha zilishawekwa kitambo ukashindwa linganisha unarudi na zile zile. Kijiji cha alex massawe kibosho tu kinatosha kulinganisha na bk na chenchi ikabaki period
asante mtani alafu hapa tumesema wachaga tu je tukiunganisha na nyie wapare kwa maana ya mkoa wa KLM kagera itachukua miaka 60 kitufkiaKweli kabisa mtani yaani huyu jamaa ameamua tu kujitoa ufahamu wake.......
Mimi ni mpare lakini moyo wangu uko Moshi......
Kuna sehemu panaitwa kituo cha afya....lazima siku moja nifanye maamuzi magumu ya kuhamia hapo moja kwa moja.......
asante mtani alafu hapa tumesema wachaga tu je tukiunganisha na nyie wapare kwa maana ya mkoa wa KLM kagera itachukua miaka 60 kitufkia
Huu mbona upo hai mkuu uwanja wa moshi huu hapaNa kama hutojali naomba picha za uwanja wa ndege wa bk ukiwa na muonekano wa uwanja kama hapa KIAView attachment 658609 View attachment 658610
Hilo jengo tulipe hili tu la Anna tibaijuka nyumba ya Anna hiyo ya kuishiView attachment 658608 Tafuta jengo Bk lenye hadhi ya hilo pharmacy ipo kcmc. Nitaomba na jengo la TRA Bk tulinganishe na Moshi tuje na picha za barabara zote za Bk
Hebu na Mimi niweke la bunazi misenyikumbuka hapo hilo jengo alilo post lipo rombo tena eneo LA mamsera na sio moshi
kama rombo tu: IPO hivyo,tukiweka picha za moshi c mtazimia? ndoo maana tumeamua kuwasitir tukianza kuweka za moshi mtaukimbia huu uzi
umeanza vi sababu uchwaraKia IPO hai mkuu sio moshi
naamHao jamaa wanajifariji tu lakini ukweli upo mioyoni mwao
kia imeshakuwa moshiHuu mbona upo hai mkuu uwanja wa moshi huu hapaau unakataa Hai ndo kuna kia sio moshi
Naenda Moshi, la sivyo wakimaliza kusalimiana wakaanza kupiga picha January 1, 2018 utashinda unang'aa macho kucheck mapichaAliyekwambia kwambia bukoba hakuna vyuo nani.bkb INA vyuo vinne carumuco, jocuco, karuko,na open .mji wa bukoba una hospital tatu kubwa ya mkoa,ya wilaya na moja ya binafsi,moshi labda wakiongeza vijiji vinavyoibana moshi ambavyo hakuna mji wakati bk hilo eneo limejengwa lote .acha kusema tu weka picha tuyaone hayo maghorofa unayoyasema
Nenda Moshi, la sivyo wakimaliza kusalimiana wakaanza kupiga picha January 1, 2018 utashinda unang'aa macho kucheck mapicha