Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
MTU unapost uwanja wa ndege BK alafu unataka na Ms wapost uwanja wa KIA ulinganishe na wa BK ? KIA ambao una direct flight from Europe ,Turky ,Catary and many more .sasa nyie wahaya nitajie viwanda 5 tuu binavyopatikana mkoa BK alafu ulinganishe na Ms .jua Ms saizi yake ni Mbeya ,Tanga na nyie saizi yenu ni Musoma ,Singida na Tabora
 
Aliyekwambia kwambia bukoba hakuna vyuo nani.bkb INA vyuo vinne carumuco, jocuco, karuko,na open .mji wa bukoba una hospital tatu kubwa ya mkoa,ya wilaya na moja ya binafsi,moshi labda wakiongeza vijiji vinavyoibana moshi ambavyo hakuna mji wakati bk hilo eneo limejengwa lote .acha kusema tu weka picha tuyaone hayo maghorofa unayoyasema
 
Tukileta mkoa mzima na mambo yaliyomo mtashangaa, mbona tunalinganisha miji ya moshi na bukoba sio hai,halafu kwenye mambo muhimu bk kuna uwanja wa mpira mkubwa na wa kisasa,bk ndo bandari ya pili ktk ziwa Victoria baada ya mwanza,viwanda vipo kama cha samaki Vic fish na Victoria fish,tanica coffee,yetu chai,kiwanda cha juisi mayawa,viwanda vya maji vinne bunena water,asilia,tanica water,na kabanga water,kagera sugar,na Victoria chalks nk
 
 
Wakiongeza jiji Tanzania ni kati ya manispaa 4 zitaingia Moshi, Iringa , Dodoma, Morogoro..ni mtazamo wangu tuu..
 
Wakiongeza jiji Tanzania ni kati ya manispaa 4 zitaingia Moshi, Iringa , Dodoma, Morogoro..ni mtazamo wangu tuu..
Ila kuna miji inakua kwa kasi hasa ya kanda ya ziwa ,
 
Tafuta jengo Bk lenye hadhi ya hilo pharmacy ipo kcmc. Nitaomba na jengo la TRA Bk tulinganishe na Moshi tuje na picha za barabara zote za Bk
 
Na kama hutojali naomba picha za uwanja wa ndege wa bk ukiwa na muonekano wa uwanja kama hapa KIA
 
Mbege imekulewesha wewe
wew rubisi ndio imekulewsha
kwan n uongo kiwa wachaga miji ming wamejeng wao?
mfano mwanza migorofa asilimia kubwa yao
mihotel pale mwanza mikubwa mfano hotel ya kifahari ya gold crest n ya mchaga
gorofa shaz pale zao
ukija bukba mabasi mengi yaendayo bkb ya wachga mfano prince muro,kdia one,Osaka nk
ukija arusha mi hotel ya kifahar asilimia kbwa ya wachaga mfano
ngurdoto hotel,impala hotel,Maura spring hotel,leopard hotel, hizo n baadh ya hotel za nyota tano
nikija dar sielezei we mwenyewe unaona kipind hiki cha ckukuu wachaga wameenda kwao dar imedorora kibiashara hata folen hakuma hii inaonyesha wachaga ndio wameishika
 
tena sio marangu yote pale mamba kisambo tu inatosha

Kweli kabisa mtani yaani huyu jamaa ameamua tu kujitoa ufahamu wake.......

Mimi ni mpare lakini moyo wangu uko Moshi......

Kuna sehemu panaitwa kituo cha afya....lazima siku moja nifanye maamuzi magumu ya kuhamia hapo moja kwa moja.......
 
Hako ka jengo hili linawatosha tu
kumbuka hapo hilo jengo alilo post lipo rombo tena eneo LA mamsera na sio moshi
kama rombo tu: IPO hivyo,tukiweka picha za moshi c mtazimia? ndoo maana tumeamua kuwasitir tukianza kuweka za moshi mtaukimbia huu uzi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…