Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Unajua kilichokwamisha ujenzi wa stendi,na je bukoba INA shule ngapi na bukoba unakuwa ya ngapi kitaifa kwenye mitiani
 
Moshi...Apo sijapata picha ya shanty town nmalize kazi hua naua nzi kwa nyundo tu

Ishia hapo hapo usije ukapata kesi ya kuua bila kukusudia......

Si unajua mishtuko ya moyo na presha haviko mbali na wenye wivu...!??
 
Kwani kuna mkowa unaitwa Bukoba
 
Tuende taratibu...
Huduma za kijamii shule tunawapiga,hospitali tunawapiga,vyuo vya kati vya elimu ya juu tunawapiga,viwanda tunawapiga,kilimo tunawapiga,miundombinu tunawapiga,pesa tunawapiga,this was a wrong battle...Moshi is not you're level. ...
 
Hebu fuatilia nyuzi nyingi.zimeanzishwa ili kuiponda bk hebu search bukoba, wahaya utaona ukweli ndo maana tumeamua kuwaumbua
hao wahaya mbona wanapondwa na kila mtu? wanaoponda wahaya ni wachaga pekee? mbona hata wachaga wanapondwa hivyo hivyo pia? kwani wanaoponda wachaga ni wahaya pekee...
 
hao wahaya mbona wanapondwa na kila mtu? wanaoponda wahaya ni wachaga pekee? mbona hata wachaga wanapondwa hivyo hivyo pia? kwani wanaoponda wachaga ni wahaya pekee...
Wacha tuwapake dawa wanasifa wakati hawazidi Moshi
 
Kwakweli BK mnajitahidi majengo no mazuri ila Ms kuilinganisha na BK ni mbingu na ardhi mji wa Moshi umeongezwa eneo kutoka km 58 mpaka 129km hivyo imeizidi BK karibu Mara mbili, pili Ms kuna vyuo vikuu zaidi ya 4 ktk mji kama huo huwezilinganisha na BK ambao hawana hata kimoja ,Ms kuna hospitali kubwa na chuo cha police hayo tuu yanatosha kuonyesha mji ulivyochangamka ulilinganisha na BK kuhusu mahoteli Ms inaizidi kwa mbali sana BK ,na kuhusu majengo kuna jamaa kasema Ms jengo no NSSF tuhuyo haijui Ms vizuri Kuna Kibo tower yenye ghorofa 10 ,kuna arshoo tower yenye ghorofa 13 kuna majengo mengi ya ghorofa 6,7,8,5 na kuna night club nyingi za ukweli sasa sijui unapata wapi haki ya kulinganisha Ms na BK nafikiri BK no ya kuilinganisha na Singida au Tabora
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…