Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Yaani niweke picha za mji wa MOSHI kulinganisha na bukoba? Wewe jamaa unaijua MOSHI au inasikia tu inavyotamkwa hapa?
Kweli sifa za muhaya kujiita No. 1 kwenye kila kitu hali ana debe la senene tu ndani mwake bado zipo hazijaisha
Mmeshaona bukoba ilivyo juu ndo maana mnaogopa kuziweka .
 
Hebu tuenjoy mitaa mbalimbali ya bukoba bandari ya bukoba
 
mi huwashangaa wanasemaga wahaya hujisifu lakini wao ukikaa nao hupenda kusifia kwao kama vile wengine wanakaa kwenye handaki, huwa nawachora sana,
 
tupia picha za airport mpya waache dharau za kijinga
OK hii ni bukoba aiport magufuli amashaanza mchakato wa kuipanua zaidi ifikie km 2 ili jengo la wasafiri linalopokea watu laki 5 kwa mwaka sawa na terminal 1 ya jkIA liweze kutumika ipasavyo na ndege kubwa ziweze kutua pale kisa wingi wa wasafiri wanaoelekea bukoba.na pia kashozi road itaamishiwa migera ili upanuzi ufanyike watu walishaanza kuhamishwa
 
Sasa hako kabarabara kalikotengwa ili ndege zitue inafananisha na uwanja gani wa moshi
 
Basi kama ni hizo picha,Bukoba hakuna hotel,kuna vilabu na Guest house
Za moshi zipo wapi ? Hivi nyie hamjionei aibu arusha kuwazidi hotel nyingi wakati vivutio vipo KLM ni aibu kwa moshi hata bukoba inaizidi moshi kwa hotel tena nyingine inafunguliwa Leo kule kilimahewa amealikwa baraca da prince na ni hotel kubwa.mtaumia sana mwaka huu naona hukutegemea bk kuwa hivyo
 
wahaya ni taifa kubwa isipokuwa ccm na nyerere ndo kikwazo, lakini wanahistoria husema historia hujirudia IPO Siku wahaya watarudi kwenye peak
 
Sasa hako kabarabara kalikotengwa ili ndege zitue inafananisha na uwanja gani wa moshi
Utaaibika sana mkuu tukikuletea hoja za kielimu kuhusu huu uwanja hebu punguza wivu .hii ndo bk bwana leta picha na wewe sio za kia maana huo unapatikana hai ambayo sio moshi
 
Bwana nyie moshi ni habari nyingine watu wa bukoba ni masikini sanaa wako nyuma kwa kila kitu
 
Jaman tuseme mara ngap humu watu msikie??? Tunataka picha za moshi ili mtu ambaye hajui hii miji miwil alinganishe.
Angalizo : Hatutaki picha ya nssf tumelichoka hata sisi jengo la nssf tunalo tena zuri tu
Nssf ya bukoba hili hapa nalo ni zuri
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…