The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
Nataman ningempata mropokaji mmoja nimpeleke kamachumu na nshamba aone vitu migombani, achana na mhaya ww!!!Kitu kingine nimegundua humu kwenye huu uzi kuna watu hawajui tofauti kati ya Bukoba na Kagera. Eti mtu unakuta anakwambia mimi nilifika Biharamulo nimeona Bukoba bado iko chini sana. Inabidi mjue Bukoba sio Kagera yote, ni wilaya kama hizo mnazotaja Biharamulo, Ngara, Muleba, n.k sasa unapoenda Muleba ukasema uliona Bukoba haijajengeka unakuwa very wrong. Bukoba zipo mbili tu; Bukoba mjini na Bukoba vijijini.
Kingine wengi mnaonekana mnajua Kagera yote ni wahaya kitu ambacho sio sahihi. Wilaya zinazoishi wahaya kiasili ni Bukoba vijijini, Missenyi, Muleba na Bukoba mjini yenyewe japo kuwa sasa imekuwa na mchanganyiko (japo kidogo) wa makabila mengine kwa kuwa ni mjini.
Hivyo ni kosa kubwa la kiwango cha lami mathalani mtu kwenda Ngara au Karagwe akase.a wahaya wanaishi maisha magumu hata vijijini hawajajenga nyumba za maana. Hizo wilaya hazikaliwi na wahaya ni wasukuma na wasubi kwa Biaharamulo, Waanagaza kwa Ngara na wanyambo kwa Karagee na Kyerwa.
Ukitaka ujue mhaya vijijini kwake kumejengeka kiasi gani nenda wilaya za Misenyi, Muleba na Bukoba vijijini alafu uone ukirudi kama utakuwa na hata confidence ya kukaa nyima ya keyboard kuilinganisha Bukoba na Moshi.
My take: Maneno kila mtu anaweza kuongea kulingana na kipaji chake cha kubisha au kubeza, ila nadhani points na evidence ndio muhimu zaidi na ndio maana hapa wa Bukoba wanaleta picha ila wa Moshi naona mapambio mengi picha ni aibu. Kabla hujajivika ubishi hakikisha unafika maeneo husika.
Siku iwe njema kwenu
Una ajenda binafsi .. Kama kutangaza vivutio kwanini usiji compare na mikoa mingine kama arusha, mwanza au iringa , why KLM ??Nimeelewa Leo kwa nini hata mlima wetu wanasema uko Kenya yaani watu wanaiba vivutio vyetu kwa sababu ya sisi kutovitangaza vitu vyetu.ushauri hiyo tabia sio nzr na inarudisha sekta ya utalii nyumba na kupunguza mapato.napenda sana walioanzisha nyuzi kutangaza miji na mikoa yao mfano mwanza,arusha,mbeya,iringa nk wanatangaza mikoa yao na hivyo kuukuza utalii wa ndani na nje.we unasema kupenda sifa sawa mlishakaririshwa hivyo kuwa wahaya wanapenda sifa.hila sifa SAA nyingine zinasaidia hivi uone Kenya walivyopiga hatua kwa sababu ya kupenda sifa ya kutambuliwa kimataifa tena inapendeza zaidi zikiwa za kweli .mwisho watz tubadilike tupende vya kwetu anzisheni blog za kutangaza vivutio vyetu.post mitandaoni hiyo inakuza utalii wachaga na wenyeji wa moshi piga picha na tangazeni vivutio mlivyo navyo ili kukuza utalii na sio kubaki na majivuno tu ya maneno bishana kwa picha ili kuitangaza tz.
Povu jiingi alaf hamna point hiyo alitaka kuwaambia kwamba kilimanjaro wamelala wanshindwa kutangaza mlima wao wenye sifa nyingi mpaka wakenya wanautangaza ni wao, hii inawafanya watalii washukie Kenya na nyinyi mnaishia kuwaona watalii wakipita tuUna ajenda binafsi .. Kama kutangaza vivutio kwanini usiji compare na mikoa mingine kama arusha, mwanza au iringa , why KLM ??
Nikwa sababu unapima ukabila kutaka kujitutumua dhidi ya wachaga..
Waache hao wakenya watangaze kuwa klm ipo kwao mwisho wasiku njia yakwenda huo mlima ipo kwetu lango moja.. Watalii wote wanakuja kulala Moshi na wata panda wakiwa moshi na wata lipia hotel za moshi..Busara ya mwerevu ni ukimnya siyo sifa.. Badala ya kuacha shughuli zetu ktumia muda wetu kubwata kuhusu kLM wapo mabwege kama wakenya wana tu tangazia na hela inakuja ..wewe pia kama ilivyo ada ya sifa kwenu unaweza ukasema klm upo kwenu.. Chaga not bother at all... Asili yetu ni kutega kama kobe pesa iingiie kilaini ..kupitia wabwataji..
Read btn the line..Povu jiingi alaf hamna point hiyo alitaka kuwaambia kwamba kilimanjaro wamelala wanshindwa kutangaza mlima wao wenye sifa nyingi mpaka wakenya wanautangaza ni wao, hii inawafanya watalii washukie Kenya na nyinyi mnaishia kuwaona watalii wakipita tu
Eti the Great Haya.. Great un puu cleanerPovu jiingi alaf hamna point hiyo alitaka kuwaambia kwamba kilimanjaro wamelala wanshindwa kutangaza mlima wao wenye sifa nyingi mpaka wakenya wanautangaza ni wao, hii inawafanya watalii washukie Kenya na nyinyi mnaishia kuwaona watalii wakipita tu
Wapi nimekosea kukujibu??? Kwani watalii wengi si wanalala Arusha na kuja kupita hapo kwenu kwenda kupanda mlima??Read btn the line..
No need to respond in every post even where irrelevant is obvious..
Kupiga picha na kuleta hapa ni moja ya dalili za ushamba.Kawaida yenu porojo tu evidence hamna siku wachaga mnafanana na wazaramo picha wapi
Sasa kama wanalala arusha hawalali kenya whats is the problem?? By the way arusha na kilimanjaro zina ingiliana uchumi.. Na mahusiano ya kiuchumi kuliko inavyo thani.Wapi nimekosea kukujibu??? Kwani watalii wengi si wanalala Arusha na kuja kupita hapo kwenu kwenda kupanda mlima??
wazuri kwel I hata miguu wamejazia ka nini,msambwanda ndo usipime!!Hata mademu wazuri moshi ipo juu Moshi kuna madem wazuri kuliko bukoba.
Na bado project zinaendelea nyingi bukoba hii ni shopping mall maeneo ya Lina's ahsante tetemekoNa hii ni tangu tetemeko limetokea, juzi tu hapa! Shikamoo Bukoba
Mnatuangusha sana wachaga hadi Kenya wanauiba mlima wetu ila kubali tu bukoba imeigalagaza moshi najua mijengo hiyo uliyoiona moshi haipo Mimi mama mkiboshoUna ajenda binafsi .. Kama kutangaza vivutio kwanini usiji compare na mikoa mingine kama arusha, mwanza au iringa , why KLM ??
Nikwa sababu unapima ukabila kutaka kujitutumua dhidi ya wachaga..
Waache hao wakenya watangaze kuwa klm ipo kwao mwisho wasiku njia yakwenda huo mlima ipo kwetu lango moja.. Watalii wote wanakuja kulala Moshi na wata panda wakiwa moshi na wata lipia hotel za moshi..Busara ya mwerevu ni ukimnya siyo sifa.. Badala ya kuacha shughuli zetu ktumia muda wetu kubwata kuhusu kLM wapo mabwege kama wakenya wana tu tangazia na hela inakuja ..wewe pia kama ilivyo ada ya sifa kwenu unaweza ukasema klm upo kwenu.. Chaga not bother at all... Asili yetu ni kutega kama kobe pesa iingiie kilaini ..kupitia wabwataji..
Povu kweli nyie wenyewe ndo mnaanzisha nyuzi kuibeza bukoba sasa tunataka kuwadhibitishia kuwa bukoba sio ya mchezo.tumechoka mpaka wengine wanalinganisha bk na babati,kigoma,songea,kahama,musoma nk.mulivianzisha wenyewe sasa hebu tuwalize na bukoba halisi ibayokua kwa kasiNyie watu wa Bukoba na Mwanza, mna tatizo gani na mikoa ya Kaskazini? maana mnaiwaza sana, kila siku kulinganisha Mwanza vs Arusha, mara Bukoba vs Moshi, fanyeni kazi acheni upuuzi kulinganisha mambo ya mikoa kwani, mtanzania yoyote kila mkoa ni wake, mtu wa Moshi anaweza kuishi Bukoba, so Bukoba ikiendelea ni faida kwake pia, ugomvi wa nini?
Au ndio mnataka kuleta ukabila hapa? Pumbavuu sana
Hawa ndugu zetu siku hizi kwa maneno ya shombo wazaramo wanatulia!!Porojo nyingi ni dalili ya kutokuwa na elimu na ustaarabu
Picha blaza na bukoba kuna ihungo inayoizidi hata kcmc kwa ukubwa.bk ni kubwa kieneo kuliko moshi bk 90km za mraba.moshi 59.acha porojo zako et kcmc .ihungo INA maghorofa zaidi za kumi na nyumba 50 za wafanyakaziWewe jamaa utakuja uweke hata picha za vyumbani. Kagera sijui bukoba ni uwenda wazimu kuifananisha na moshi. Yaani kwa majengo tu lile eneo la hospitali ya kcmc ni zaidi ya mji wenu wote. Moshi na badhi ya wilaya za mkoa wa kilimanjaro kuna huduma nzuri za kijamii kulika mikoa yote labda dsm tu.
Ombi
Acha kufananisha Moshi na vitu vya kijinga
Maneno ya nini mkuu?? Dhibitisha hayo maeneo mazuri kuliko bukoba sio unaongea tu, sababu kwa kuongea mtu ambaye haijui bk wala moshi atakushangaa unavokalia kuongea tu bila kumuonesha hayo maeneoWewe jamaa utakuja uweke hata picha za vyumbani. Kagera sijui bukoba ni uwenda wazimu kuifananisha na moshi. Yaani kwa majengo tu lile eneo la hospitali ya kcmc ni zaidi ya mji wenu wote. Moshi na badhi ya wilaya za mkoa wa kilimanjaro kuna huduma nzuri za kijamii kulika mikoa yote labda dsm tu.
Ombi
Acha kufananisha Moshi na vitu vya kijinga
Duuuuu naweza sema naijuwa bukoba vizuri sana. Kuanzia BUKOBA MJINI, VIJIJINI, MISENYI, KARAGWE,nk.yaani kifupi naijuwa KAGERA. Kiukweli kuilinganisha BUKOBA MJINI NA MOSHI MJINI ni kituko sana. Labda mseme moshi haina fukwe za Ziwa tuu lakini vingine vyote hapana. Stendi yenyewe tope. Zikipaki gari kubwa 30 imejaa kabisa. Ivo ukiwa umeshatembelea na Moshi uje.Moshi imepangika vizuri kimji lakini kwa marefu , mapana na mandhari nzuri haioni kitu kwa Bkb. Custom, Buyekera mjini kati, Kashai ,Hamghembe, Rwishenye ,Nshambya, Ihungo, Kahororo ,Kibeta, Kashule, mandhari ya ziwa Bkb ni mwisho wa maneno!!
Ta Kamugisha unaitwa huku!!