Acha uongo, vita vya Kagera viliathiri wilaya ya Missenyi hasa hasa Kuanzia Kyaka, Bunazi, Kassambya,Mutukula na Minziro. Baada ya daraja la mto Kagera kuvunjwa Bk ilifikiwaje na wanajeshi wa Uganda?.Tetemeko, vita vya kagera,milipuko ya mabomu mwaka 94,utelekazaji Wa mkoa huu miaka ya 80, na 90 wakati bk ilijengwa kibepari lakini socialism ilikuja ikaaribu muundo na ukuaji Wa bk kwa kiasi kikubwa shule,viwanda,mashirika,majengo na vingine vilikufa,bk ilikuja kuamuka tena miaka ya 2000 tu ambayo imekuwa kwa kasi sana.na kumbuka katika majanga hayo hakuna fidia inayolipwa mfano vita vya kagera mji uliharibiwa sana ndo maana ukaangamia kama ilivyo sasa tetemeko.lakini watu walishutka mapema kwamba hakuna fidia ndo maana ukuaji haujaathirika sana.wengi usema bk IPO mbali na tz.
Hahahaha....kama kukaa kwenye nyasi kama mnyama pori ndio ujanja, acha niwe mshamba tu.Mzee ushamba utakumaliza
Naona unaleta Historia, karibu Mwaka sasa meli haziendi BKAcha dharau za lining a njoo ujione vitu kama hiviziwa la pili duniani kwa ukubwa na la kwanza Africa nzima utalii si mlima na mbuga tu ndo maana wanafika mpaka bk
Utamaduni wakati mpaka leo watu wanakaa kwenye nyasi?[emoji15] [emoji15]Endeleeni na ushamba hiyo ni haya museum.ukumbisho Wa maisha ya wahaya zamani acheni kusahau utamaduni wenu.ndo maana kihaya hakichuji
Msisahau kwamba Bukoba maendeleo na miundombinu yote wanabk wanajchanga hawaitegemei serikalini je utafikiri siku serikali wakiamua inakuwaje fikiria hata barabara maji wananchi wanajijengea serikali haiwapagi kipaumbele
Hoteli gani za maana zipo moshi nyingi zipo arusha. Sio moshi maskini moshi halafu porojo hatutaki .picha ndo kila kitu mnatuletea za miji mingine unafikiri hauifahamu moshi kwanza wanaiwekaga star TV kila sikuMoshi kitu gani kinategemea serikali kama kampuni za kitalii serikali haina, hotel hakuna ya serikali hata moja vyuo sio vya serikali kimoja tu ndo serikali ila maendeleo yanakuja kutokana na madiwani na manispaa yenyewe kutokana na ushuru na mapato ya mkoa kujenga barabara na huduma za kijamii ndio maana kuilinganisha bukoba inayosubiri ichangiwe na serikali na moshi ni kuikosea Moshi heshima
Inasubiri WAP wewe .fikira ni majan ga mangapi yameukumba mji lakini hauchoki kukua tetemeko limetokea hakuna aliepewa msaada tofaut na maji na biscuit. Ila 90% walishajenga.ushauri usicheze na natural calamities. Unalala tajiri unaamuka maskini omba yasikukute nyie mbona same mliomba msaada baada ya landslideMoshi kitu gani kinategemea serikali kama kampuni za kitalii serikali haina, hotel hakuna ya serikali hata moja vyuo sio vya serikali kimoja tu ndo serikali ila maendeleo yanakuja kutokana na madiwani na manispaa yenyewe kutokana na ushuru na mapato ya mkoa kujenga barabara na huduma za kijamii ndio maana kuilinganisha bukoba inayosubiri ichangiwe na serikali na moshi ni kuikosea Moshi heshima
Eti ehh maskini hotel za uko zilivyo ndo maana wakenya wameuiba mlima hamjawekeza chochote mnazidiwa na hotel za bukoba mji usio Wa kitalii chekiWaweke za bukoba zingine tofauti na lile kanisa, moshi tuwapige msumari wa mwisho
Kwa taarifa yako kisiwa hiki kiliharibiwa na kukatwa na mabomu wakati Wa vita vya kagera kisiwa ni mtaa Wa manispaa ya bukobaAcha uongo, vita vya Kagera viliathiri wilaya ya Missenyi hasa hasa Kuanzia Kyaka, Bunazi, Kassambya,Mutukula na Minziro. Baada ya daraja la mto Kagera kuvunjwa Bk ilifikiwaje na wanajeshi wa Uganda?.
Shida waafrica mnadharau utamaduni wenu uliowalea na kutaka kujifanya wazungu uhayani hatukubali yatokee ndo maana kuna museum nyingi kama hizoHahahaha....kama kukaa kwenye nyasi kama mnyama pori ndio ujanja, acha niwe mshamba tu.
Hapo najionea vimajengo na vingine vigofu vya mbao sasa hiyo beach ama msituEti ehh maskini hotel za uko zilivyo ndo maana wakenya wameuiba mlima hamjawekeza chochote mnazidiwa na hotel za bukoba mji usio Wa kitalii cheki
Wacha mbwembwe wewe zipo unabisha nini wewe chalii yanguNyumba za nyasi tangia nimezaliwa sijawahi kuziona bukoba. Naona museum tu kama hiyo
Ha ha ha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna picha ya tofauti na moshi hapo mjomba.niambie nikwambie ni wapi!Hoteli gani za maana zipo moshi nyingi zipo arusha. Sio moshi maskini moshi halafu porojo hatutaki .picha ndo kila kitu mnatuletea za miji mingine unafikiri hauifahamu moshi kwanza wanaiwekaga star TV kila siku