Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Bukoba kamwe hapawezi pagusa moshi. ...
Moshi ipo kwenye mpango wa kuongezewa eneo na kuongeza miundombinu ya barabara na nyingnezo liwe jiji, Ni moshi na dodoma tu ndio zipo katika project hyo!!bukoba endeeleni kuota !!
Kwa kweli ni ukosefu wa heshima,,adabu na akili kuilinganisha moshi na bukoba....moshi n level ya juu sana kwa bukoba...!
 
Waweke za bukoba zingine tofauti na lile kanisa, moshi tuwapige msumari wa mwisho
Mmesahau na za makanisa wajichukulie ramani tunawapa bureee hatutaki hata sent tano yao hahahaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…