Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
We huoni mandhari beach,cassino,na biashara ya hali juu.hata hivyo kaa ukouko unaogela bwawani
Hahaaa instanbull usikonde mwakani tuombeane heri mdau wachagaa tutajichanga hapa tutakupa offer ya kwenda Kilimanjaro tukutembezee vijiji wilaya na vitongoji vyoote ukirudi hapa utakuwa kiumbe kipya amini hivyo manake kwa sasa unapapasa tu
 
Rubisi pombe ya kihaya,senene za mbuga,ndizi za bk,na hali ya jewa nzur kama nini sijui beach za kumwaga,na uvuke border kwenda rwanda ug,pia miwa na visiwa vya ziwa kama msira,kerebe bumbile nk utaona lin meli wewe
Meli hizi hizi au kuna mupya
 
Hahaaa instanbull usikonde mwakani tuombeane heri mdau wachagaa tutajichanga hapa tutakupa offer ya kwenda Kilimanjaro tukutembezee vijiji wilaya na vitongoji vyoote ukirudi hapa utakuwa kiumbe kipya amini hivyo manake kwa sasa unapapasa tu
Acha mbwembwe hamna kitu huko
 
Dadako siyo malaya!!!au wa kabila lako siyo makahaba!!! Mbona wamo wengi makabila ya katikayi mwa nchi sema mmekalili vibaya!!! Revist your information
HUWA HATUPOST BILA KUFIKIRIA....LABDA NIKUULIZE UNAJUA MAANA YA NENO "KASUMBA".... USIPANICK UTAONEKANA WAKUJA
 
mbege first quality ni ya rombo ya pili kibosho ya tatu marangu
Umefanya nimkumbuke rafiki yangu wa Rombo[wenyewe wanajiita Rombian] yaani huyu jamaa siku haikupita bila kutaja neno 'mbege'..............BTW natarajia kufika Rombo mwezi May mwaka ujao, lazima nikapige hiyo kitu.
 
Moshi nimeishi miaka 15 nasasa nipo Bukoba miaka 8 lakini huwezi kuifananisha na Bukoba Manispaa chafu kuliko dampo
ukisema chafu
hakuna mahali pachafu kama kama dar
afu manispaa safi ni iringa..
afu moshi ya kawaida kama iringa..moro na dom
mlikuwag mnajisifia sana bt kawaida sana
 


Jango la NSSF KILIMANJARO

KILIMANJARO MOUNTAIN



Round about ya KCMC, KILIMANJARO N/PARK NA ARUSHA



Katikati ya manispaa

Jango la stend kuu ya mikoani,
Bado sehem kibao sijaziweka hapa.
aliyepost hiz picha amechemka sana kwenye ile picha aliyosema katikati ya manispaa. Hiyo picha hapo sio Moshi bali hapo ni Mwanza round about ya regional drive, police central mwanza, ccm mkoa mwanza, makongoro/aiport road, kenyatta road na nyerere road na bot mwanza
 
Mkuu moshi hamna kitu sasa angefanyeje
waambie wapunguze kunywa Pombe
 
Bukoba pamoja na kutwangwa na tetemeko bado iko vizuri
sio tetemeko tu hata Idd Amin pia ile vita ya kagera aliwahi kuiharibu bukoba yn kama sio majanga bkb na jamaa wake wangekuwa vizuri zaid ya hapo, ila bk bwana kwa majanga mara ukimwi, kagera war, mv bukoba, mnyauko, sasa tetemeko yn ni shida tupu mpaka watu wanaogopa kuwekeza huko sasa
 
Hujawai fika miji uliyotaja hata mmoja
 
Basi mpambano umeisha maana watu mnajisifia na majengo ya makampuni.Kidogo Bk wamejitahidi kuonyesha mji ila hawa kina mangi wao ni barabara,mlima na jengo la Nssf.siku nyingine mjipange mje na majengo ya wananchi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…