IBRAHIM KAUKI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2014
- 536
- 210
Pamoja na majanga yote bk bado inawagalagaza hivi yasingotokea bk si ingekuwa kama mwanza[/QUOTE]MBNA nyie MNA ziwa victoria? yaan nyie hajatuzid kwa kitu chochote labda majigambo
umaskini ndii jadi yenu
nyie n majivuno tu hakuna kingine hapo bukoba n sawa na wilaya ya sihaTetemeko limetokea nyumba hazijaporoka zote bado mji upo ni sehemu tu chachechache
npo rukwa huku network down nitajakuwekea hapa hadi ufurahiLeta za moshi tuone
Naona lengo lenu nikubishana nasio kupata fact.Nyie endeleeni kubishana tu na wengi wanaobisha umu either wajawahi kufika moshi au bkb.Waweke picha porojo za nini
asante kwa kumpa ukweli wao wanajitamba na vigorofa vyao 2 hawajui moshi ndii migorofa ya hotel imejaaMkuu mmi natoka bkb naninatembelea Mara kwa Mara bkb na moshi.Tuweke ushabiki pembeni,aisee moshi wapo mbali mno tena kwenye mahotel usiguse kabisa
Bk imeamuka subiri muje muone[/QUOTE]JE BUKOBA NA MOSHI IPI INACHANGIA ZAIDI PATO? INGIA WEB YA TRA ALAFU URUDI HAPA
YAAN MAPATO YA BKB N MADOGO KULIKO YA WILAYA YA SAME MKOAN KLM
SEMBUSE MOSHI?
SISI WOLAYA ZOTE ZA MKOA WA KLZINAJIWEZA SIO MASKINI KAMA BIHARAMULO,KYERWA,KARAGWE,MISENYI
MTACHUKUA MIAKA 100 KUIFIKIA MOSHI/KLM
huto tuviwanda twote hapo bk ni sawa na kiwanda cha bonite cocacila pale moshiTanica ipo wapi,chai yetu,bunena,nk au si bk
HAHAHAHA CNA MBAVU HAWA WAHAYA N SIFA TU HAWANA LOLOTENilianzia lusaunga, biharamulo, mlima wa simba, kasindaga, kibaoni, Runazi, rulanga, ilemela, muleba, kagoma, katoke, kemondo, kyetema, bukoba, kafagwe.. ...... Nayafahamu vizuri maeneo haya yote kwa kweli kuifananisha na Moshi ni matusi makubwa ya nguoni yasiyovumilika bukoba mjini ni pa kishamba barabara ina mashimo makubwa ya kitisha.
Barabara zao ni vichochoro stand ni liboma la ajabuajabu majumba yamechakaa kama kilwa masoko au stone town zanziba au lushoto Tanga.
Huwezi kufananisha bukoba na moshi kwanza bukoba ni masikini sana hata report zinaeleza.
Soma mada kwanza mkuu...Bukoba ni bora ukaishindanisha na Chatommekosa hoja mmeanza vijembe..
kubalin tu...moshi ya kawaida
nenda shant town anamiliki gorofa kadhaaNioneshe jengo la Mengi hapo moshi
Kanyi resort hipi mtaa gani hiyo mkuu daah unaleta hadi picha za UgandaMkuu mmi natoka bkb naninatembelea Mara kwa Mara bkb na moshi.Tuweke ushabiki pembeni,aisee moshi wapo mbali mno tena kwenye mahotel usiguse kabisa
unaota joh..Soma mada kwanza mkuu...Bukoba ni bora ukaishindanisha na Chato
bukoba haina hadhi hata robo ya moshiWatu kibao wapo moshi ila weshindwa
Moshi nimeishi miaka 15 nasasa nipo Bukoba miaka 8 lakini huwezi kuifananisha na Bukoba Manispaa chafu kuliko dampounaota joh..
nimeish moshi pamoja na bukoba
narudia tena moshi ya kawaida
iz just being overrated...