"kama MNA viwanda vingi mbona halmashauri ya moshi inaingiza mapato mengi kuliko bukoba?"E="instanbul, post: 19067453, member: 372401"]Viwanda bk ni vingi kuliko moshi asilia water,kagera sugar,yetu chair,Mali juice,tanica,bunena water,tanica water, kyaka milk,diva mafuta nk
"kama MNA viwanda vingi mbona halmashauri ya moshi inaingiza mapato mengi kuliko bukoba?"E="instanbul, post: 19067453, member: 372401"]Viwanda bk ni vingi kuliko moshi asilia water,kagera sugar,yetu chair,Mali juice,tanica,bunena water,tanica water, kyaka milk,diva mafuta nk
Tz ni mojawatu wa bukoba n kujisifu tu Hanna lolote
hata mabasi yanayoenda bukoba mengi n ya watu wa moshi mfano prince muro,osaka , kidia one nk
mabasi yanayopiga route moshi 99.9% n ya wenyej wa moshi niny mmeishia kukimbia kwenu na majigambo tu
Kumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
Chamecha meku nyingine naziona za vijijini kabisa marangu mtoni hembu wawekee na zile hotel za vijijini kabisa waone yaani hawa machalii kweli wanajaribu kukutanisha mbingu na ardhi maajabu hayaMOSHI
View attachment 451166 View attachment 451167 View attachment 451168 View attachment 451169 View attachment 451170 View attachment 451171 View attachment 451172 View attachment 451174 View attachment 451175 View attachment 451176 View attachment 451177 View attachment 451178 View attachment 451179 View attachment 451180 View attachment 451181 View attachment 451184 View attachment 451186 View attachment 451187 View attachment 451189 View attachment 451190
AmazingMoshi town
Sasa unaweka picha ya makunganya street dar ili nn embu wakati unapost picha angalia ......
Iringa imefanyaje mdau next utakuwa Iringa na Mbeya tuliza boll usiwe na haraka
Bukoba ni zaidi ya Moshi. Ninaipenda Bk katika hali zote.Kumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
Kupenda sio kigezo pakawa zaidi u Moshi wewe papende ila usifanye ndio kigezoBukoba ni zaidi ya Moshi. Ninaipenda Bk katika hali zote.
Kagera ni kubwa watu wake ukubwa unaifanye mapato ya bk yamezwe.na wilaya kama biharamulo, ngara,na kyerwa ambazo ni wilaya maskini na misenyi ambayo ni wilaya change.pia majanga kama tetemeko,na kuwa mbali na tz ndo maana ni maskin"kama MNA viwanda vingi mbona halmashauri ya moshi inaingiza mapato mengi kuliko bukoba?
ingia web ya tra uone
pia mkoa wa kagera n mkoa wa 3 kwa umaskini sasa mnajivunia nn
Nyie sijui ni viroba au?? Hapa mada ni bk vs moshi sio kagera vs kilimanjaroChamecha meku nyingine naziona za vijijini kabisa marangu mtoni hembu wawekee na zile hotel za vijijini kabisa waone yaani hawa machalii kweli wanajaribu kukutanisha mbingu na ardhi maajabu haya