Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Halafu unaeka picha ya arusha hotel kujifunga uongo wako peke yako. Watu ilikuwa sebuleni kwetu hapo tunajua mpaka vyoo vya mabosi na wafanyakazi wote unataka kudanganya huoni haya wewe?
 



Hiii si ndio umeweka? Inafanana na hiyo kolping nini sijui huko migombani?
Mm kwani arusha hotel inamilikiwa na wakina nani labda zinafanana maana kolping ni shirika kubwa lenye hotel nyingi bongo ni shirika la Rc.
 
Kweli wewe Mhaya eti inapakana na Kenya na Burundi...Viwanda kama Balimi etc aaah Bukoba bado saana kwanza watu wa huko bado wanasumbuliwa na funza aka jiggers
Umefanya utafiti kabla ya kuongea kiwanda cha balimi maarufu kama via ya kanda ya ziwa kipo mwz na bk mtaa Wa national housing karibu na wizara ya maji hiki hapa chini ya mlima Wa mawe hilo jengo lenye ranging nyeupe
 
Nyie watani zangu, akina Kamugisha, Lwakatale, Rweyemamu, Ishengoma, Karugaba, Ruge, Mutta, Kokushubila, Rutaindurwa, Buberwa, Rugangira nk . Acheni utani kabisa! Moshi kuna mijengo mizuri achilia mbali pale mjini nenda Marangu huko ndo hatari kabisa.
 

Twende kwa picha tupe hizo picha za mijengo ya marangu....
 
Mm kwani arusha hotel inamilikiwa na wakina nani labda zinafanana maana kolping ni shirika kubwa lenye hotel nyingi bongo ni shirika la Rc.

Arusha hotel inamilikiwa na Shafii, by the way, kukujulisha tu zaidi mimi mwenyeji wa arusha nimezaliwa nimekulia na kila kitu changu ni Arusha, nina hakika na hiyo hotel umedanganya. Naomba uweke picha halisi ya kolping hotel kama niliyokuwekea hapa chini, acha ku brag na hotels za miji ya watu,

Now this
looks exactly kibukoba
 
Wewe ndo ulipaswa kubalance story na sisi ndo tutoe majibu, kwa sasa tumeshajua tayari wewe ni mzaliwa wa Bukoba.
Sio kwamba mie ni mzaliwa Wa bkb Bali mie nijuavyo bk inaizidi moshi ndoo maana nimeweka za bukoba na moshi walete zao.Mimi ni mzaliwa Wa jiji la mwanza ilemela milimani barabara ya maduka Tisa ila naipenda bk
 
Hotel za bukoba utazijua tu, mabati ya blue, zimekaa kama guest za sh 5000 per night, huezi compare na some five stars hotel in A Town yo!
Ni muundo kwa sababu ya hali ya hewa ya huko by the way sijui kama unaelewa
 
Ni muundo kwa sababu ya hali ya hewa ya huko by the way sijui kama unaelewa


Nachoelewa umetuona kalumekenge kwa kudanganyia l picha ya New Arusha hotel, sina hakika na zingine ulizotuma ni bukoba kweli. Na bado unalazimisha ati ni kolping lol! Ebu acha upuuzi basi
 
Mkuu umepatia mifananisho mingi lakini umejitoa ufahamu Dar kuifananisha na Mbeya, Mwanza, Arusha na Tanga. Sijui umetumia vigezo gani!?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…