Unavyofikiria sivyo mji Wa bukoba una kilometa za mraba 90 huku moshi ikiwa na 59 hivyo kiukubwa bukoba ni kubwa kuliko moshi. Kwa location bukoba iko location nzuri ukizingatia imepakana na Uganda. Rwanda,Burundi, na Kenya kupitia ziwani,kimzunguko Wa pesa ni mkubwa hasa uwepo Wa bandari, nchi nyingi zilizozunguka,vyuo vingi saut,jocuko,katoke,na open.pia viwanda ni vingi tanika,bunena water,Victoria chalks,vicfish,chai yetu,asilia water,Kabanga water, Mali juice,viwanda vya mafuta ya kujipaka,kagera sugar,viwanda vya maziwa,na balimi,.tena bk IPO katikati ya mwanza na mtukula ambayo miji kuna masoko ya Africa mashariki,biachara ya ndizi ndo usiseme watu ni wengi na bukoba bado INA sehemu kubwa ya kujenga nyumba kuliko moshi ambayo imebanwa na vijiji. Nakushangaa usemapo moshi itangazwe jiji ?