Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Stendi kama Nyegezi?
 
Kumbe watu umu mnabisha tu kumbe ata kufika sehem husika bado.hizo picha ni za moshi nahiyo round about inatunzwa na bonite
 
Haahha ila mkuu umenichekesha sana, Kibeta kuna nini? Na Nkindo si ipo BK vijijini...hata ingekuwa mjini kuna nini pale?
 
Mijitu yenyewe ya moshi ikizidiwa inaanza kushusha matusi, that is insanity!!!!!
 


Jango la NSSF KILIMANJARO

KILIMANJARO MOUNTAIN



Round about ya KCMC, KILIMANJARO N/PARK NA ARUSHA



Katikati ya manispaa

Jango la stend kuu ya mikoani,
Bado sehem kibao sijaziweka hapa.
Mbona unaweka na picha za Iringa na Mwanza?
 
Weka picha ulizopiga wewe mwenyew na si kuleta za watu wengine ...
 
Usiiweke Dar kwenye ujinga wa aina yoyote
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…