Bk ni mbali we we unafikiri kuna umbali saw a na moshi na dar.lakini bk haitegemei sana dar inategemea sana Kampala km 250 kutoka bk,na mwanza km 250 ,ndo maana kuna mabasi mengi ya mwz to bk.ndege za mwz to bk,ndo maana tunaitaji meli,kipindi cha zamani tulikuwa na meli ,5 kati ya mwz,Kampala na bk mv bk,Victoria, kishimba,serengeti ,na mpina hivyo bukoba na dar havitegemeani sana kwanza nauli elfu 60000 so bora ukanunue kiwanja bk ukajenga nyumba milimani.Tatizo la kina Nshomile ni kujisifu bwanaa...
Angalia tuu hata usafiri wa kwenda kwao wameshindwa kununua mabasi mazuri japo sasa njia ipo nzuri MH. Magufuli kawajengea barabara kupitia chato nzuriii......ILA angalia mabasi ya KILIMANJARO NA ARUSHA halafu chunguza mabasi yanamilikiwa na kina nani....kama hukukuta mabasi mengi ni majina yale yalee ya wenyewe...
Wahaya kwa kujisufu...hata kama hana gari atakuambia amepaki benz mlangoni...sijui kwanini...
Sisi tunaamini hata usipopiga kelele kuhusu mafanikio yako yatajionesha yenyewe...acha mafanikio yapige kelele sio wewe upige kelele....
Biashara nyingi angalia waliozishikilia ni kina nani....
Celebrities wa kihaya ni kina nani...?
Ila bila kutafuta sana....kuna kina
1. Nancy Sumari - Arusha
2. Saida Kessy
3. Hoyce Temu
4. Theresa Shayo
@ instanbul polee
Unafikiri wahaya hawajajenga vijijini ingekuwaje wote wangejenga bk, bk kuna wanyarwanda wengi na waganda,ndo maana IPO hivyo shida bk watu wanapasikia tu.Kimsingi Moshi imegalagazwa na Bukoba, hilo liko wazi. Moshi ni ndefu imefuata barabara tu kiurefu haiko kimpangilio kama huo wa Bukoba, uzuri nimefika Moshi ila sijafika Bukoba, ila kwa picha hizo alizoweka mdau, bukoba pako vizuri,na sababu iko wazi, wachaga wengi waliofanikiwa kimaisha wamejenga wilayani na vijijini kwao, hivyo kwa hali ya wilaya au vijiji vya Moshi ni vizuri kuliko vijiji vingi vya Tanzania. Wangejenga sana mjini Moshi basi hata Arusha ingezidiwa.
Picha zinaonyesha,tembelea Makambako ili uamini kuwa Bukoba inafanana na kata ya Makambako.Kivipi unaijua bk wewe
Picha mkuuMoshi imepangika vizuri kimji lakini kwa marefu , mapana na mandhari nzuri haioni kitu kwa Bkb. Custom, Buyekera mjini kati, Kashai ,Hamghembe, Rwishenye ,Nshambya, Ihungo, Kahororo ,Kibeta, Kashule, mandhari ya ziwa Bkb ni mwisho wa maneno!!
Ta Kamugisha unaitwa huku!!
hii sio...hiyo roundabout sio....navyojua za Moshi zina Garden iliyo vizuri
Iringa na Bukoba tena,au hujafika Iringa.Bukoba ishindanishe na Iringa,Njombe,Songea,Mtwara,Kigoma,Sumbawanga ila cyo Moshi,unatia aibu moshi ni tamu aisee
bokoba haifikii iringaIringa na Bukoba tena,au hujafika Iringa.
Cheki bk airport sio international ila mzuri.international utajengwa omkajunguti km 40 nje ya bk eneo lishatengwaBukoba Airport Vs Kilimanjaro AirportView attachment 451317View attachment 451318View attachment 451319View attachment 451320View attachment 451321
Ukuaji gani huo wa uchumi usio na makusanyo imara ya kodi? fikiriUnafikiri Wa bk haukui
Soma hapo juu pato la moshi linakuzwa na mlima kilimanjaro vinginevyo moshi ni hoi [emoji23] [emoji23]Ukuaji gani huo wa uchumi usio na makusanyo imara ya kodi? fikiri
Povu holo [emoji12] [emoji12] [emoji12]Moshi = Kichwa
Bukoba = mkia