Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Sisi tunapeana changamoto maana tumeona tunaweza kwenda sawa nyie tumewaacha mpaka mpate elimu kama Moshi na bukoba mkuu pole Sana. Mkipata elimu tutawakaribisha kwenye changamoto za maendeleo
Elimu ipi unazungumzia ???
unaweza kujikuta ww ndio kiazi hapa
...kama ndio elimu za kutambiana kwa staili mnayofanya hapa....basi tz ni shimo la wajinga
 
Unamfahamu huyu mtu? kardinali wa Kwanza mwafrica dunian.Alizaliwa 1912 huko kijijini Ratabo kamachumu Bukoba.alijiunga na seminary kongwe ya Rubya huko bukoba na kupadirishwa mwaka 1944 mwaka 1952 aliteuliwa kuwa askofu wa Kwanza mtanzania na 1960 Alitangazwa kuwa kardinali wa Kwanza mweusi.alikuwa na akili Sana na busara Sana . Alikuwa rafiki kipenzi wa john poul wa pili maana alimtangulia kuwa kardinali na alimleta tz.Alipofariki alizikwa Kwenye kanisa alilolijenga mwenyewe huko bukoba.ila alizikwa Kwa mda kwenye kanisa kongwe zaidi kashozi.cathedral ya bukoba ilivyokarabatiwa aliamishiwa na kuzikwa humo mwaka 2012 miaka kumi na tano baada ya kifo chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkoa nzima wa kagera Hakuna jengo kama hili la Moshi
View attachment 1013374

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwanja wa kipekeee wa mpira mjini bukoba kaitaba stadium bukoba.uwanja WA tatu Kwa ubora tz .hivi wachaga mnajuaga hata mpira kweli.maana sijawahi sikia timu kutoka moshi.

Huku kagera sugar inaziumbisha timu za Simba na yanga na ni moja ya timu kubwa tano nchini all the time
1. Simba
2.Yanga
3.Azam
4.kagera sugar
5.mtibwa sugar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh so baada ya vita UWT bus
lao halikurudi?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…