Bukoba sirudi tena ng'o

Bukoba sirudi tena ng'o

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Nimefika hapa takribani wiki moja iliyoisha yani mjii huu ni tofauti na nilivyouzania kutokana na majigambo ya ndg zetu wahaya, miundo mbinu na mji ulivyokaa basi taabu kweli kweli, natamani kilichonileta huku nimalize fasta nirudi zetu kwetu Mwanza.
 
Nimefika hapa takribani wiki moja iliyoisha yani mjii huu ni tofauti na nilivyouzania kutokana na majigambo ya ndg zetu wahaya, miundo mbinu na mji ulivyokaa basi taabu kweli kweli, natamani kilichonileta huku nimalize fasta nirudi zetu kwetu mwanza,,

Mkuu hauko sawa kabisa lambda ulitegemea ni ni zaidi na haujapata?
 
Bukoba has everthing yu need except what yu have. Senene, bushera, munanasiii, nagambira igaa, shuntama kuriinya we msigazii. Nagamba amazima gonka.
 
Nimefika hapa takribani wiki moja iliyoisha yani mjii huu ni tofauti na nilivyouzania kutokana na majigambo ya ndg zetu wahaya, miundo mbinu na mji ulivyokaa basi taabu kweli kweli, natamani kilichonileta huku nimalize fasta nirudi zetu kwetu mwanza,,

mimi nimefika bukoba mara nyingi. kwa standard za miji mingi ya tz bk wala siyo mbaya, vijijini kama kanyigo na muleba kuna nyumba za hatari ambazo hata zina weza compete na za miji mikubwa. acha majungu mitandaoni, speak facts. by the way kwenu wapi?
 
nyumba za hatari muleba vijijini ziko wapi?izigo au Katoke B?Vijiji vya muleba ni hoi bin taabani si kaboya kyamkwikwi kimbugu nk ni hoi.sema wahaya misifa tu ya ajabu
 
Acheni chokochoko ndogo kama hizi ambazo baadae huwa zinaleta uadui.

Hata kama ulisikia anajigamba mwache, mtu anajivunia kwake.

Mtu kwao, nyumbani ni nyumbani

Neno haswaa! Mtu kwao, SI lazima upakute hivyo unavyodhani. Kama Mimi nikikuelezea juu ya kwetu RURUMA, KIOMBOI SINGIDA hakyanani utatamani ufike kesho. Aidha utapafurahia Sana, au utaboreka na kukimbilia hapa jukwaani kunitangaza. ILA home sweet home!
 
Kwani msipoongelea Bk mnapungukiwa nini?ebu weka picha hata ya chumba chako km unaweza....acha zako
 
Nimefika hapa takribani wiki moja iliyoisha yani mjii huu ni tofauti na nilivyouzania kutokana na majigambo ya ndg zetu wahaya, miundo mbinu na mji ulivyokaa basi taabu kweli kweli, natamani kilichonileta huku nimalize fasta nirudi zetu kwetu mwanza,,

Mwanza unatokea kijiji gani?
 
Nimefika hapa takribani wiki moja iliyoisha yani mjii huu ni tofauti na nilivyouzania kutokana na majigambo ya ndg zetu wahaya, miundo mbinu na mji ulivyokaa basi taabu kweli kweli, natamani kilichonileta huku nimalize fasta nirudi zetu kwetu mwanza,,

umetokea mwanza wilaya gani mkuu? mwanza ni jiji sasa utalifananisha na mji? pamoja na kuwa mwanza ni jiji na wewe ndo unatokea mwanza, mimi tanzania hii yote sidhani kama kuna pahara utanidanganya, mwanza ni sawa na mtu aliye vaa nguo nzuri akapaka mafuta usoni, kumbe nguo zake za ndani chafu!! mfano huu unalenga mwanza town ni pazuri sana ila je wilaya zake umefika na ukaona kukoje? kwanza niambie ni wilaya gani mwanza unatoka, au una angalia town to kwa kuwa ni jiji? mfano umeenda wilaya ya ukerewe? kila mzawa wa pale akijenga nyumba nzuri anapigwa chini na mahuti nikiwa mtumishi wa selikari nimeenda kikazi kule, yaani kwa wiki hukosi kukutana na vichaa wasio pungua 20! watu wapigwa koba tu bila sababu! sasa hivi baada ya wagen kuingia ndo angalau.

umeenda kisiwa cha ukara mkoa wa mwz ukaona wachawi wanavyo loga kweupeee!!!! yaani ni bora ungesema umetokea mikoa mingine si mwanza kabisaaa!!! shukuru Mungu wahaya wakupikie matoke na senene +sangala ukale na urudi salama. mwanza kuna maeneo mengine ukienda vibaya kurudi mpaka MUNGU AWE NAWE!!!
 
Nimefika hapa takribani wiki moja iliyoisha yani mjii huu ni tofauti na nilivyouzania kutokana na majigambo ya ndg zetu wahaya, miundo mbinu na mji ulivyokaa basi taabu kweli kweli, natamani kilichonileta huku nimalize fasta nirudi zetu kwetu mwanza,,

Taratibu mkuu, kwani ulitegemea kuona au kupata nin?
Mimi pia nina wiki mbili hapa nimefikia hapa Coffee Tree Hotel karibu na Mkuu wa Mkoa
 
Back
Top Bottom