Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 811
- 1,311
Nilikuwepo Bukoba apo katikait ya mwezi huu
Aisee sijawahi kuona mji wenye barabara zenye 'one way restriction' kama Bukoba mjini....nilipigwa faini za kutoshaaaa
Kama ni mgeni usijaribu kuendesha gari Bukoba mjini!!
All in All,the Mint sitapasahau...nilipata raha zoteee anazostahili kijana aliekamilika