donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,130
Aina gan hiyo ya simu hapo mezan mkuu?For the first time ever, wakuu wa huku, usiku wapi pana happen?View attachment 878506View attachment 878507View attachment 878511
Shukrani mkuuiwe bojo.!!
nenda Lina's Club pande za kule ziwani
SQ mkuuAina gan hiyo ya simu hapo mezan mkuu?
Hahaha sawa mkuuUtujie na mrejesho wa katelelo
Nimeona tochi yenye simu mkuu hongera kuwa Bukoba,gulio la
Katerero ni kesho
Mkuu ilo simu unaweza kutumia kama silaha endapo kutakuwa na shida

Ni chaja piaMkuu ilo simu unaweza kutumia kama silaha endapo kutakuwa na shida
like itFor the first time ever, wakuu wa huku, usiku wapi pana happen?View attachment 878506View attachment 878507View attachment 878511
Naiona sky motelFor the first time ever, wakuu wa huku, usiku wapi pana happen?View attachment 878506View attachment 878507View attachment 878511
Hapo Sky jioni kuna wahudumu wana makalio ya haja.....For the first time ever, wakuu wa huku, usiku wapi pana happen?View attachment 878506View attachment 878507View attachment 878511
KatereroUtujie na mrejesho wa katelelo
iyo nadhan catarpillarAina gan hiyo ya simu hapo mezan mkuu?
Asante sana mkuu, nilikua the mint leo na kweli nikang'oa goma,Hapo Sky jioni kuna wahudumu wana makalio ya haja.....
Kwa Maeneo ya kuvinjari ni pamoja na;
1. Bukoba Club (hapa kuna ulimi WA kuchoma hatarii sana)
2. Coffee Tree
3. Casanova (jioni kuna live band)
4. Umura Rocks (nje ya mji kidogo)
5. Police Mess
6. Linaz
7.The Mint Club ( Club ya kisasa kuliko zote BK)
8. The Liquid Club ( Upande mmoja live band, upande mwingine disco)
9. Smart Hotel ( iko karibu na Airport)
10. The Rock (kwa Kitimoto choma)
11. Paradise Pub (hapa kuna Kitimoto hatari sanaaa Tanzania nzima hakipo)
12. Spice Bar (iko ziwani)
13. Yassira Hotel (iko ziwani, kuku choma safi sana)
14. Kolping Hote (Sizler ya Kitimoto ipo ila bei juu kidogo)
15. BCD Stella Hotel (hapa swimming ipo)
Usiondoke bila ku practice katerero! Hapo Liquid na The Mint wanakuwepo wa kutosha, bei chee kabisa na hawajui kuibia wateja.
Nyegera waitu Mnyamahanga!
Halafu MTU akatae bukoba pazuri ukichanganya na ile hali ya hewa na vijiji vizr vyenye migeto waliofika ni mashaidiHapo Sky jioni kuna wahudumu wana makalio ya haja.....