Bukoba hawakumpa kura magu kaka wewe uko wapi. Jimbo lako linaongozwa na nani.Unauliza mmekosa nini? Wewe bure kabisa. 2015 ulikuwa wapi?
Bukoba tena...Kutoka Bukoba
Mamlaka ya maji bukoba (BUWASA) wamekatiwa umeme kutokana na kushindwa kulipa bili ya umeme kwa muda mrefu. Hali hii imefanya mji kukosa maji na inasemekana deni ni kubwa sana kiasi cha kutohimilika na huenda lisilipwe leo wala kesho. Wananchi tumekosa nini kama bili tunalipa tena kwa wakati kwanini tukose huduma muhimu kama hii kwa uzembe wa wafujaji wa ankara za taasisi unaofanywa na watu wachache waliopewa kuiongoza hiyo mamlaka. Hii inatuweka katika wakati mgumu sana sisi wananchi hasa kutokana na milipuko ya magonjwa inayoweza kutukumba. JPM tafadhari baba badirisha namna ya kuwatumbua hawa wasiolipa umeme
Hawakumpa niamini. Uchakachuaji tu.Alipewa za urais bwana
Mkuregenzi tanesco hii inakuhusuHuko Bukoba hakuna viwanda ? Single ya viwonder imeishia wapi? Kukiwa hakuna maji viwanda vitafungwa na mhoteli na watu hawatapika je huo umeme Tanesco watawauzia akina nani? Ashakumu si matusi kikizuka kipindupindu bila maji na hospital zikifungwa je kuna biashara ya umeme itafanyika? Tanesco Msimsahau Jakaya Mrisho Kikwete alisema akili ya kuambiwa changanya na ya kwako. Kukatia watu maji it's a crime against humanity!
Acting Managing Director Tanesco complete your learning curve without Drama! Wanaokudanganya ukate maji kwa wateja wako wanaolopa umeme and I am sure hata maji wanalipa sio mchezo mwema!