Bukoba mambo ya migomba yanaelekea kupotea kwenye makazi ya watu

Huna jipya.
Hyo picha syo ya rombo hakuna wamasai
Rombo

Na Hawa ni wamasai
Screenshot_20211003-120254.jpg
 
Sio kweli kwamba hakuna migomba wilaya ya Bukoba isipokuwa baadhi ya maeneo walibadilisha aina ya migomba kutoka ya zamani na kupanda ya kisasa especially migomba aina ya FIA na ndizi zake zina soko mikoa ya jirani, ukienda maeneo ya izimbya bado kuna ndizi za asili za kutosha sasa hivi kuna hadi mkungu wa elfu moja
Hakuna kitu sipendi kama hizi mbegu mpya za migomba. Roho inauma mno zile ndizi za asili zinapotea

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kutoka Mwanza kujua maisha yake yapoje leo nipo Bukoba.

Kuna watu wanapotosha sehemu za mikoa kuwa zipo hivi.

Kwanza natanguliza shukrani kwa marehemu JPM japo wanasema binadamu hata tufanyiwe nini shukrani ziro.

Marehemu JPM kaweza sana kuboresha miji iliyopo mikoani asilimia kubwa.

Niliyokuta Bukoba
Yale mambo ya migomba yanaelekea kupotea kwenye makazi ya watu.

Barabara za mjini zimeongezeka na zengine kiwango cha lami.

Nilicho kuta msikiti mkubwa ambao mpaka sasa nimewapa big up Bukoba.

Watu wameelimika kujenga kwao sasa

View attachment 1938691
View attachment 1938692
View attachment 1938693
View attachment 1938694
View attachment 1938695
View attachment 1938696
View attachment 1938698
View attachment 1938699

Nilichogundua mkoa wa Kagera uislamu unakuwa kwa kasi sana maana miaka ya nyuma ulikuwa sehemu chache.

nitaendea…

View attachment 1938697
 
Hakuna jipya hapo hata kule tunakojifunza ustaarabu hayo yapo labda yangetokea kila mara ndo tungeshangaa
 
Ni kweli sio nzuri lakini zinahimili mabadiliko ya hali ya hewa, ila Bukoba bado kuna sehemu nyingi zina migomba ya asili
Siyo bk ty katika suala hilo. Ni kote aisee. Halaf kwa wangoni unaambiwa ndizi mshare tena wa asili mkungu elf 2 tena unabembelezewa. Kiukweli haya ya kisasa hata si matamu.

Enzi hizo moshi pekee ndo ilikua ikiilisha dar na ndizi, ndizi ilikua na thamani kweli hapa sokoni mabibo. Ila sasa hivi, kila pembe wanaleta dar.

Binafsi sitamani vijijini kwetu kabisa mazao ya ndizi yapotee na kahawa. Hakuna kitu nafurahia kama hiyo mandhari aisee. Yaan vikaja potea na mimi siendi tena kijijini. Kuna raha gani sasa. Sema nyie hapo bk ndo makao makuu ya mkoa sijui kama mtaweza handle hii hali ya kukata migomba na mikahawa aisee. Sisi moshi mjini paache pabaki na hekaheka ila jioni watu huenda lala milimani kwenye hewa safi ya mimea.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom