Bukoba mambo ya migomba yanaelekea kupotea kwenye makazi ya watu

IMG_0772.jpg

IMG_0771.jpg

IMG_0770.jpg

IMG_0767.jpg

IMG_0768.jpg

IMG_0769.jpg
 
Tatizo mnakuja na mentality ya kukuta bukoba inafanana na Dar wakati ni mji wa kawaida tu unaojitosheleza.

Ila kwa Tanzania hakuna mkoa wenye makazi Bora vijijini Kama kagera
Hujatembea Tanzania wewe, there's nothing in Bukoba mjini wala vijini. People are proud for nothing, kuishi kijijini kula panzi na ndizi si sifa bali ni jadi.
 
Kwa kweli Kigoma papo vizuri sema tu watu ambao hawajawahi kufika wakisikia Kigoma mwisho wa reli wanadhani ni pa hovyo sana kumbe papo poa tu. Miji mingi sasa hvi inakuwa na kubadilika japo kasi ya ukuaji wa miji inatofautiana kutokana na sababu mbalimbali.
Uchawi na dini ndiyo inaifanya Kigoma kuwa nyuma kimaendeleo. Sehemu yeyote ambayo Uislam umeshamiri sana LAZIMA kunakuwa hakuna maendeleo tu. Angalia Lindi mijini na Tabora kulivyo nyang'anyang'a, watu wamekalia dini tu isiyowasaidia maishani ila kusoma hawataki na ukisoma wanakusomea albadiri uwe kichaa ili ufanane kama watoto wao.
 
Hujatembea Tanzania wewe, there's nothing in Bukoba mjini wala vijini. People are proud for nothing, kuishi kijijini kula panzi na ndizi si sifa bali ni jadi.
Nitajie mkoa wenye vijiji Bora Kama kagera Tanzania hii...acha kujifariji
 
Ukabila na udini unakuja kwa kasi TZ. Uzi unazungumzia aliyoyaona Bukoba. Lakini unakoishia utafika kwenye dini na ukabila. Watu wameanza kuitana vichaa huku. Mara mikoa flani haiendelei kwa sababu ya dini flani. Huu uzwazwa tusipouacha dah.
 
ulitaka kusikia nini !
kuwa ukimwi umeshamili upate la kuongea.

kama kinachoendelea hata kama mabadiliko ya kisiasa,kijamii na vingine siwezi kuzuia
 
Kwanza kuendelea kwa vijiji vya Bukoba siyo magufuli watu wamestaarabika kitambo

Zamani kuna Miradi kadhaa kama ya Philipp PARTAGE alisaidia watoto yatima

Rwegalulila alisaidia upatikanaji wa maji vijijini

Elimu walipata Uganda na nje

majumba ya Kifahari yameanza kitambo enzi za BenardMulokozi, Rubandebage, Rweyemamu na Rwegasila!! Ruhangisa na Katunzi bila kusahau akina Rugambwa na Mwombeki hizo ni icon za kimataiFa
Ukimwi je?
 
Baada ya kutoka Mwanza kujua maisha yake yapoje leo nipo Bukoba.

Kuna watu wanapotosha sehemu za mikoa kuwa zipo hivi.

Kwanza natanguliza shukrani kwa marehemu JPM japo wanasema binadamu hata tufanyiwe nini shukrani ziro.

Marehemu JPM kaweza sana kuboresha miji iliyopo mikoani asilimia kubwa.

Niliyokuta Bukoba
Yale mambo ya migomba yanaelekea kupotea kwenye makazi ya watu.

Barabara za mjini zimeongezeka na zengine kiwango cha lami.

Nilicho kuta msikiti mkubwa ambao mpaka sasa nimewapa big up Bukoba.

Watu wameelimika kujenga kwao sasa

View attachment 1938691
View attachment 1938692
View attachment 1938693
View attachment 1938694
View attachment 1938695
View attachment 1938696
View attachment 1938698
View attachment 1938699

Nilichogundua mkoa wa Kagera uislamu unakuwa kwa kasi sana maana miaka ya nyuma ulikuwa sehemu chache.

nitaendea…

View attachment 1938697
 
Pitia huku
 
Back
Top Bottom