Bukoba mambo ya migomba yanaelekea kupotea kwenye makazi ya watu

Dah! population hiyo ni kubwa sana aisee, kuunganisha mkoa huu na mikoa mingine jirani kama Mwanza kwa barabara za lami kutaufanya uvutie zaidi kwa watu kuweka makazi na uwekezaji.
Mbona barabara za lami zipo au unataka zip
 
Mbona barabara za lami zipo au unataka zip
Mara ya kwanza kwenda huko nilipata taabu sana kupata usafiri wa haraka kurudi mwanza, ilibidi nisubiri meli saa tano usiku.....hadi nikapaona pamekaa kushoto sana.
 
Mara ya kwanza kwenda huko nilipata taabu sana kupata usafiri wa haraka kurudi mwanza, ilibidi nisubiri meli saa tano usiku.....hadi nikapaona pamekaa kushoto sana.
Barabara ya mwanza bukoba imejengwa kitambo Sana na inapita chato kwa magu.

Kwa Sasa mkoa wa kagera ukitoa kyerwa wilaya mpya. Hakuna wilaya isiyounganishwa na lami
 
Dah! population hiyo ni kubwa sana aisee, kuunganisha mkoa huu na mikoa mingine jirani kama Mwanza kwa barabara za lami kutaufanya uvutie zaidi kwa watu kuweka makazi na uwekezaji.
We jamaa unaishi Tanzania kweli, hivi kuna mikoa leo hii haijaunganishwa na lami??
 
Pale stendi vumbi sana, bodaboda kibao na mikungu ya ndizi kila mahali....mngepunguza majungu, ubinafsi na fitna mngekuwa mbali sana.
Bodaboda wapo ili kurahisisha usafiri sioni kama ni tatizo, serikali ya ccm imeshindwa kujenga stendi hilo sio jukumu la wananchi
 
Hakuna sehemu Duniani isiyokuwa na hayo Mambo matatu uuliyoyataja
Nyie mmezidi mzee, mnaweza kuamua kuongea kihaya ili kuteta wasiokuwa wahaya, halafu mna hila sana na mnalegalega kwenye swala la uaminifu kwenye mahusiano mbalimbali ikiwemo mapenzi.
 
Mbona kuzungumzia sana misikiti na uislamu? Ndicho ulichoona tu?
 
Nyie mmezidi mzee, mnaweza kuamua kuongea kihaya ili kuteta wasiokuwa wahaya, halafu mna hila sana na mnalegalega kwenye swala la uaminifu kwenye mahusiano mbalimbali ikiwemo mapenzi.
Kijana wanajulikana kwa sababu ni kabila kubwa.

But kila kabila hizo Tabia zipo.so ni Tabia za binadamu yeyote anayo sio kabila flani.

Otherwise uwe unachuki na kabila flani.
Kuna vikabila vidogo vina Tabia za ajabu ajabu mpaka utasema wahaya ni Bora sana
 
Ila kwa Tanzania hakuna mkoa wenye makazi Bora vijijini Kama kagera
Rudia utafiti wako upya,sa ukifika Moshi si utapagawa? Umeme mpaka mitoni hata ukijenga mtoni una barabara yako,utafananisha na BK kweli?
 
Rudia utafiti wako upya,sa ukifika Moshi si utapagawa? Umeme mpaka mitoni hata ukijenga mtoni una barabara yako,utafananisha na BK kweli?
Mmeshatia Kambi vichaa wa uru.

Hebu linganisha mkoa wako na mkoa wa kagera kwa ukubwa tu na population
 
Back
Top Bottom