mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,076
- 4,113
.....Duh, basi sasa tuseme Jeshi la Polis limekuwa chama cha Siasa
Utafika muda na nyie mtasukumwa ndani tu muosha huoshwa usisahau hilo.Sukuma ndani huyo.
Utapata nini wewe mwehu???Sukuma ndani huyo.
Baada ya kusukuma ndani what is the next move??Sukuma ndani huyo.
Wanatusaidia kuitangaza BAVICHAVery SAD! 😢
Haya matukio muwe mnaya rekodi kwa ajili ya matumizi ya baadaye ,naona msululu wa wataokwenda the Hague na Yona .Jeshi la Polisi limezingira ukumbi wa kikao cha semina ya kuwajengea Uwezo BAWACHA, na kumkamata Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa ambaye ni Mbunge wa Kawe, Halima Mdee
Halima Mdee, licha ya jana kuzuiwa kufanya mkutano akiwa mkoani Simiyu, leo Julai 14, 2019 ameendelea na ziara yake Bukoba na kuweza kukutana na Baraza la Wanawake wa CHADEMA wa Mkoa wa Kagera.
Jeshi la Polisi limezingira ukumbi wa kikao cha semina ya kuwajengea Uwezo BAWACHA, na kumkamata Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa ambaye ni Mbunge wa Kawe, Halima Mdee

....
....Hii inaonyesha kwamba CHADEMA ni Dume la Simba tena la kutoka kule LOBO
Wanatusaidia kuitangaza BAVICHA