Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,916
- Thread starter
- #61
yaani kuoa kwangu leo kumekuwa usanii? We subiri kadi yako ya mwaliko tuYaani wewe unachekesha mie nikanunue simu Ubungo stand nina wazimu ama kitu gani??? Haiwezekani ng'ooooo nakuheshimu ndo maana nilishangaa ulipoleta thread ya kisanii kubali yaishe umechemsha right????