Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Hapana, anaitwa Cheupedawaasante kwa zawadi,bila shaka anaitwa cheusi mangala,nimemkubali
Hapana, anaitwa Cheupedawa
safi sananitamuongezea set za make up,anajua sana kujipodoa,najua kuna wadada wa jf umu wanamuonea wivu na watakuja kumponda,nitaziba masikio
hakuweka piriton, aliniwekea valium kwenye konyagiBujibuji jana uliamka kweli? Nasikia wazungu nao wameiga ule mchezo wa piritoni kwenye manyonyo
Bujibuji ulipokuja Ntwara watu walikufurahia mpaka ukapata na Korosho
Nami nimemkubalinitamuongezea set za make up,anajua sana kujipodoa,najua kuna wadada wa jf umu wanamuonea wivu na watakuja kumponda,nitaziba masikio
Nami nimemkubali