Bujibuji anatafutwa na kina mangi

Bujibuji anatafutwa na kina mangi

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,024
Reaction score
59,686
Hii kauli uake imesababisha jamaa atafutwe kwa udi na uvumba''
By Bujibuji:
""Siku hizi nyie mmewafunika wahehe kwa kujiua, mbaya zaidi mnajiua kwa vitu vilivyopo kwenye miili ya wenzenu, na mwenye mwili ndio ajuaye ampe nani kidubwashika chake."""
 
Bujibuji njoo huku ujibu shutuma zako toka kwa waliochukua nafasi ya wahehe ya kujiua kwa ajili ya viungo vya watu...
 
Last edited by a moderator:
Currently ukisikia unatafutwa na Mangi kojo kisado! Solution ni kula kona fasta !
 
Alisema baadaya kuinvest kwenye maduka wamehamishia kwenye wadada ahhhhhh
 
kumbe kuwekeza kwenye papuchi ni sawa na kuwekeza kwenye kifo....
 
Bujibuji tafadhali endelea kuwa mafichoni usije pigwa na kitu cha ncha kali...Lol!
 
Last edited by a moderator:
Ngojea zako tu,
unavyozimikia na mbeya .... tukuyu
lazima upate show mwaka huu.

Saint Ivuga nimeamini kuwa kweli ninatafutwa kwa udi na uvumba na hawa wenzetu wafuga mbudhi wa mila, yaaani kiasi kwamba hata Mamndenyi hataki kunijulisha kwa jinsi na yeye anavyotamani kuona nikigeuzwa mbuzi wa tambiko.
 
Back
Top Bottom