Bujibuji akutwa Amelala

Watu 8 naskia eti alikopa benk sasa kashindwa kurudisha nyumba imenadiwa kukwepa karaha za mama Bujibuji na wanae akaamua kuja kujipumzisha hapo
 
Last edited by a moderator:
Acha uzushi wewe, nani kakwambia mi nilikopa Benki?
Mi sikukopa benki, nilikopa Saccos, wanadai hao, usiombee.

sasa ile nyumba inakuwaje? ngoja nimwambie Boflo aje ainunue. KISIRISIRI..... eti naskia unamkuwadia mkeo kwa akina Mbuzi Mzee japo wakurudishie kiasi ukainusuru nyumba ni kweli??
 
Last edited by a moderator:
sasa ile nyumba inakuwaje? ngoja nimwambie Boflo aje ainunue. KISIRISIRI..... eti naskia unamkuwadia mkeo kwa akina Mbuzi Mzee japo wakurudishie kiasi ukainusuru nyumba ni kweli??
saccos sikuweka nyumba rehani, wananitishia kuja kuchukua makochi , kabati, feni na kale ka friji kangu yuzdi, sasa na joto hili la DSM unadhani nitaishije mimi?@gfsonwin
 
saccos sikuweka nyumba rehani, wananitishia kuja kuchukua makochi , kabati, feni na kale ka friji kangu yuzdi, sasa na joto hili la DSM unadhani nitaishije mimi?@gfsonwin

duh! kwahiyo mama Bujibuji mradi wake wa barafu na ice cream kwishney maskini ya mungu. lol! mwambie awe anauza supu tu ya kongoro na paya ili asikae bila kazi. pole sana mwaya
 
Last edited by a moderator:
wanajua sitaweza kuja, ninaishi kwa kujifichaficha na deni langu la saccos

Bujibuji wewe ni mdau wetu humu hatuwezi kukubali mambo yako yaharibike,thgibitisha hili ili tuanzishe mchango humu ndani kukuokoa Mkuu!!!
 
wanajua sitaweza kuja, ninaishi kwa kujifichaficha na deni langu la saccos

Bujibuji Mkuu wangu wewe ni Mdau wetu mkubwa sana humu Jamvini hebu thibitisha hili jambo,ili mimi nianzishe mchango tukuokoe Mkuu!!!!!!!
 
Nahisi atakuwa anadaiwa kodi ya pango. Maskini marehemu in advance!
 
duh! kwahiyo mama Bujibuji mradi wake wa barafu na ice cream kwishney maskini ya mungu. lol! mwambie awe anauza supu tu ya kongoro na paya ili asikae bila kazi. pole sana mwaya

gfsonwin:Dada angu sasa hapa mimi nashindwa kukuelewa inamaana unafurahia Bujibuji kuwa hivi ama,hebu nieleweshe mkuu wangu!!!!!!!!1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…