Bujibuji akutwa Amelala

Bujibuji akutwa Amelala

siku hizi guest nimemwazima Asprin na wakeze wote ila ninakapagale majimatitu sijui atakubali akae huo?
 
Last edited by a moderator:
KakaKiiza usinipeperushie njiwa wangu, hayo mambo ya Erickb52 yanatokea wapi? Mimi na 2gfsonwin tutajua namna ya kulitatua tatizo langu la malazi. Kwanza tayari nina advantage ya kukimbiwa na mke, gfsonwin atareplace

sasa mie lofa nimpeleke wapi? manake hata hela ya unyunyu nijitoe janaba huna wakazi gani mie?? KakaKiiza mie akhu! labda aniambie kama atauza lile godown lake na mm nimshkie pesa ili nimsaidie anyanyuke upya
 
Last edited by a moderator:
ameyaweka maisha yake rehani, kwani huo mkopo unamnyima raha hata ya mamsap.
 
KakaKiiza usinipeperushie njiwa wangu, hayo mambo ya Erickb52 yanatokea wapi? Mimi na 2gfsonwin tutajua namna ya kulitatua tatizo langu la malazi. Kwanza tayari nina advantage ya kukimbiwa na mke, gfsonwin atareplace
Mkuu Bujibuji hili lilikuwa angalizo na wala siyo kumaanisha moja kwamoja ila sikujua kama kuna kaintano releshenishipu na gfsonwin ila mbona ni muelewa atamaliza tatizo lako wasiwasi ondoa huyo nijembe mimi bila ya huyo undhani mtoto nivea angenidondokea??
 
Last edited by a moderator:
sasa mie lofa nimpeleke wapi? manake hata hela ya unyunyu nijitoe janaba huna wakazi gani mie?? KakaKiiza mie akhu! labda aniambie kama atauza lile godown lake na mm nimshkie pesa ili nimsaidie anyanyuke upya
Eheee eheeeee! gfsonwin sasa hapo unamnyanyua au ndo unamdidimiza mazima!!Sikuamini kama na wewe huna huruma kama taleban!! Bujibuji sasa kumbe na godown lako lilisha pigiwa hesabu!!kaa mkao mpya huu umepotea njia!!
fweeza2
 
Mkuu Bujibuji hili lilikuwa angalizo na wala siyo kumaanisha moja kwamoja ila sikujua kama kuna kaintano releshenishipu na gfsonwin ila mbona ni muelewa atamaliza tatizo lako wasiwasi ondoa huyo nijembe mimi bila ya huyo undhani mtoto nivea angenidondokea??

haahahahhahah KakaKiiza waambie waambie
 
Last edited by a moderator:
haahahahhahah KakaKiiza waambie waambie
Mbona mwaka huu watajitupa baharini mimi na nyonga wangu nivea sitaki bighudha na mtu!! TANMO nimeisha mwambia na mwenzake Erickb52 kazi imebaki kwa mtu chake ananengeneka sijui ataishia wapi maana moyo wake umemuiva karibu unapasuka masikini Preta hata astuki mpaka asikie puuu mtu kadondoka!!Ila namshukuru sana gfsonwin big up kwakazi kubwa ulinifanyia!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom