Bujibuji akutwa Amelala

Bujibuji akutwa Amelala

gfsonwin:Dada angu sasa hapa mimi nashindwa kukuelewa inamaana unafurahia Bujibuji kuwa hivi ama,hebu nieleweshe mkuu wangu!!!!!!!!1

huoni namwonea huruma? ila alizidi ujue aliishia unywea ulanzi pale buguruni hela zote za mkopo?
 
gfsonwin:Dada angu sasa hapa mimi nashindwa kukuelewa inamaana unafurahia Bujibuji kuwa hivi ama,hebu nieleweshe mkuu wangu!!!!!!!!1
we humuoni kanivalia na gauni la mapande sita kabisa?
avatar80923_10.gif
 
Watu 8 naskia eti alikopa benk sasa kashindwa kurudisha nyumba imenadiwa kukwepa karaha za mama Bujibuji na wanae akaamua kuja kujipumzisha hapo

Mh.. nina shaka Bujubuji alitaka kuji-nyalukolo baada ya kuzidiwa na stress za kupoteza vyombo vyake vya ndani baada ya Saccos kuja kuchukua vyombo vya ndani na mama Bujubuji kumkimbia na kurudi kwao..
 
Bujibuji angalia vijana wa Mjini wasijekukupitia hapo, alas, siku hizi wanasaula pia watakuacha na Bukta tu (kama unayo ndani)
 
amam badu hiyo Reli yenyewe inaonekana haitumiki, itakua ya Kwenda Tanga
 
ha ha hahaa aaaa! Bujibuji na familia yake wamo matatani. Pole Bujibuji ndio ya dunia hayo!
 
Bujibuji nakuonea huruma maana hawa watu wamikopo wanazidi hata jamaa wa bomoabomoa kwa sababu dah wanakuja na baunsa nene!!lazima kochi wanyanyue ila gfsonwin simshikaji wako kwanini usimpechumba kimoja kwenye ile guest yako uliyoukodi chumba cha mwaka??akaka angalau miezi 3! akili itakuwa imerudi mahali pake! Wewe unadhani Erickb52 atakugombeza??Mwenzio ananyumba pale sinza iko sipeisho kwa kazi maalumu na kodi analipa ohoo sorry nimeishatoboa siri nisamehe ila usimuulize!
 
Last edited by a moderator:
KakaKiiza usinipeperushie njiwa wangu, hayo mambo ya Erickb52 yanatokea wapi? Mimi na 2gfsonwin tutajua namna ya kulitatua tatizo langu la malazi. Kwanza tayari nina advantage ya kukimbiwa na mke, gfsonwin atareplace
Bujibuji nakuonea huruma maana hawa watu wamikopo wanazidi hata jamaa wa bomoabomoa kwa sababu dah wanakuja na baunsa nene!!lazima kochi wanyanyue ila gfsonwin simshikaji wako kwanini usimpechumba kimoja kwenye ile guest yako uliyoukodi chumba cha mwaka??akaka angalau miezi 3! akili itakuwa imerudi mahali pake! Wewe unadhani Erickb52 atakugombeza??Mwenzio ananyumba pale sinza iko sipeisho kwa kazi maalumu na kodi analipa ohoo sorry nimeishatoboa siri nisamehe ila usimuulize!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom