Kamera zetu zimemnasa akiwa amelala maeneo ya Tabata Relini
wanajua sitaweza kuja, ninaishi kwa kujifichaficha na deni langu la saccosBujibuji akija hapa sijui itakuaje,mie simo.
nilikula nauli, hata kurudi nyumbani naogopa, chezea karata tatu wewe??Bujibuji mbona aliniaga jana ameenda makete kutafuta mabinti wanaotaka kujifunza cherehani dar?
Acha uzushi wewe, nani kakwambia mi nilikopa Benki?
Mi sikukopa benki, nilikopa Saccos, wanadai hao, usiombee.
saccos sikuweka nyumba rehani, wananitishia kuja kuchukua makochi , kabati, feni na kale ka friji kangu yuzdi, sasa na joto hili la DSM unadhani nitaishije mimi?@gfsonwinsasa ile nyumba inakuwaje? ngoja nimwambie Boflo aje ainunue. KISIRISIRI..... eti naskia unamkuwadia mkeo kwa akina Mbuzi Mzee japo wakurudishie kiasi ukainusuru nyumba ni kweli??
saccos sikuweka nyumba rehani, wananitishia kuja kuchukua makochi , kabati, feni na kale ka friji kangu yuzdi, sasa na joto hili la DSM unadhani nitaishije mimi?@gfsonwin
wanajua sitaweza kuja, ninaishi kwa kujifichaficha na deni langu la saccos
wanajua sitaweza kuja, ninaishi kwa kujifichaficha na deni langu la saccos
Wee changa tu, hamna haja ya kuthibisha.Bujibuji wewe ni mdau wetu humu hatuwezi kukubali mambo yako yaharibike,thgibitisha hili ili tuanzishe mchango humu ndani kukuokoa Mkuu!!!
duh! kwahiyo mama Bujibuji mradi wake wa barafu na ice cream kwishney maskini ya mungu. lol! mwambie awe anauza supu tu ya kongoro na paya ili asikae bila kazi. pole sana mwaya
Wee changa tu, hamna haja ya kuthibisha.
Nitakualika Rudy's Farm kwenye shughuli ya kujipongeza
tuma kwa redio kooo bwanaNipe namba ya MPESA au akaunti zako zote unazotumia Mkuu wangu.