Buhohela analipwa na ITV, Magufuli au CCM?

Buhohela analipwa na ITV, Magufuli au CCM?

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,943
Reaction score
23,885
Anatembea na MAGUFULI kila mahala anapokwenda na anaripoti habari zake kwa bashasha kubwaa.. Ni utaratibu gani huu?
Nimekufatilia namna yako ya kuripoti shughuli uliyo kuwa assigned yaani msafara wa mgombea wa CCM na kugundua unachofanya sio sahihi kulingana na maadili ya kazi yako na heshima ya kituo unachowakilisha.
Unatia chumvi sana na kudanganya wazi nahisi unapata malipo ya ziada toka mahali na hiyo ni rushwa.

Nikupe mfano mmoja, Leo Magufuli alikuwa na tatizo la sauti, hiyo ni kawaida kutokana na mikutano mingi na kutumia nguvu kubwa jukwaani. Lakini ulivyo muongo na bila aibu ukawaambia watazamaji eti kuna jambo anasisitiza kwa sauti ya upole kuonyesha msisitizo wa jambo!

Huo ni uongo, sauti imekauka na una tabia ya kuongeza maneno yako hata kama hayajasemwa. Tutaondoa imani kwa ITV kama ripota wao wanaanza tabia za kutiliwa shaka kujihusisha na rushwa. Nakumbuka hata kipindi cha Dakika 45 kulianza kuwepo hisia chafu dhidi yako.

Jirekebishe
Wakuu, Emanuel Buholela ni mwanahabari wa ITV, akiripoti kampeni za Magufuli.

Ni kijana machachari mwahabarishaji, lakini leo nimemtolea point zangu nilipomsikia akitatangaza habari ya Magufuli kuvunja record Mwanza na sehemu nyinginezo za kanda ya ziwa!! Hii si kweli.
Mwitikio wa watu haupo kama wanavyosema.

Watu wa CCM bado kujaza.
 
hawa jamaa wameanza kampeni kabla ya muda harafu tume wapo na wanakenua meno tu
 
hawa jamaa wameanza kampeni kabla ya muda harafu tume wapo na wanakenua meno tu

lazima ujue yeye ameajiliwa na anapangwa kazi na wakubwa zake.Hivo ukisema Buhohela anapewa bahasha it is hearsay that never be used as evidence b4the court of law na ni uvivu wa kufikiri
 
Aiseeee, hahahahahaha, eti kwa bashasha, umenikumbusha mbali sana msemo huu.
 
Anatembea na MAGUFULI kila mahala anapokwenda na anaripoti habari zake kwa bashasha kubwaa.. Ni utaratibu gani huu??

Anaweza akawa analipwa na team magamba kwa ajili ya kuripoti habari zao,sidhani kama kuna ubaya kwenye hilo
 
Anaweza akawa analipwa na team magamba kwa ajili ya kuripoti habari zao,sidhani kama kuna ubaya kwenye hilo

Kwahiyo huyu BUHOHELA nae gamba. atakuwa kavuta mkwanja mrefu sana.
 
Analipwa na magufuli na si chama wala ITV make ktk msafara wa magufuli yuko buhohela,maela,Chacha na wapiga picha wawili.john Chacha kachukuliwa na ccm kufanya coverage,Emmanuel buhohela kaitwa na magufuli na Sam mahela naye yuko anatafuta fursa
 
Anatembea na MAGUFULI kila mahala anapokwenda na anaripoti habari zake kwa bashasha kubwaa.. Ni utaratibu gani huu??
Usipopata habari unalalama ukipata unalalama! Ulikuwa unataka mwandishi aripoti habari huku amekunja uso kama anakunywa sumu? Mtu unaripoti habari za rais anayesubiri kuapishwa ni kwa nini usifurahi? Mbona wakati anatembelea barabara za huko Arusha Buhohela alikuwepo na alikuwa akiripoti na hukupiga ukelele? kelele za sasa za nini? Utamsikia na Jaffary Haniu pia
 
We mjinga sana. Mwandishi wa habari unataka afanye kazi gani sasa, unataka sisi wananchi tupateje habari za viongozi watarajiwa wetu, nini kazi ya chombo cha habari kwani? ?? Nadhani utakuwa hujasoma wala huna elimu ya kutosha. Rudi darasani ukafundishwe.

msamehe bure,si unajua tea,hawa bavicha uelewa wao mdogo sana.....
 
Back
Top Bottom