Buguruni: Sherehe yageuka msiba

Buguruni: Sherehe yageuka msiba

Habari serious kama hizi haipendezi mziwasilishe kwa episodes. Inatutoa kabisa concentration Aaaagh! Mleta hoja badilika umeboa
 
Kama alikuwa na mtoto ana miaka 15 tena anaitwa Siyabonga,( neno la kizulu linamaanisha "asante" ) Basi huyo hakwenda sauzi mwaka 2009..Jipange upya.

mkuu hil jina alilipata toka kwa mchezaj mpira maaruf wa kisauz anaitwa siyabonga nomvete. kwa kua alikua anampenda mwanae akaamua ampe jina hilo.upo mpaka hapo
 
We uko south au buguruni?

niko bongo ila nina uncle wang yupo huko ana mwaka wa 10. nina watu nilisoma nao o level wapo, kuna niliocheza nao wapo, kuna niliokaa nao nyumba moja mpaka wanaondoka wapo.
 
Buguruni oyeeee...buguruni noumaa ukikutana na vijana watano bas watatu kat yao wana ngeu kibao

ushawahi fika au kukaa buguruni au story za vijiwen, fika ujionee.
 
Mleta mada kweli ni Dr. Wa buguruni, maana hii hadithi Yake Mara jamaa alikuwa anasubiriwa kufungisha ndoa Mara kauwawa kwenye ujambazi. Sijui lengo ni kumtetea marehemu au kuthibitisha yaliyosemwa na Grader.

ninachotetea jamaa hakuwah kuwa panya road.
 
Last edited by a moderator:
Sherehe wiki nzima halafu tunalalamika ni kwanini sisi ni masikini.

ndo mana sehem zijazo nikataka kueleza maisha ya familia kwa ujumla, mwanzo wakat wa umasikin wao waliishi vp, na sasa wanazo wanaish vp. hilo ndo dhumun lang, lakin ushabik umezid nikaamua niishie hapo but story ni ndefu.
 
Hujaeleweka mwandishi.

Huyo Zena alikuwa anaolewa na mjomba wake yule Hamisi? Boikoko na mananda ni nini?

zena na hamis ni mtu na mjomba.anaemuo zena ni mwanaume mwingine, ila huyo hamisi ndo alikua anasubiriwa aje afungishe ndoa kama mjomba. kuhusu baikoko ni ngoma kutoka tanga za kumfunda mwali. zaman zilichezwa kwa siri ila kwa sasa mambo hadharan. mnanda ni aina mchiriku hupigwa kutumia vinanda.ila unatafsirika kama mzik wa kihuni.
 
Niliwahi fika buguruni kisiwani baa moja inaitwa hilton nikanywa nikala ikafika mida ya nne na nusu nkaondoka na car yangu mdogomdogo ile natoka kwenda mbele nikate kona kuingia main road pancha duuh……!
-sijakaa sawa machizi hawa hapa kumbe nami nipo fiti na mkanda wangu mweusi duuh tulimalizana kimyakimya wakanipa hadi walizo pora mitaa mingine#
 
Sawa jamaa hakua panya road,lakini ameuawa kwenye tukio la ujambazi? Aliuawa bahati mbaya au ndo alikua mzee wa kazi? Hebu tuweke sawa.

yan kaz kubwa za kule kwa wabongo ni madawa na ujambaz.
 
Majirani bana, wakiwa wanaambulia pilau na sambusa basi watamsifia mtu hata kama ni jambazi....njaa mbaya sana, JAMBAZI, MUUZA UNGA NA PANYA RODI WOTE WAHALIFU TU!
 
# Dr.Aluta Endelea Nastory Mkuu Sisi Watu Wahuku mikoani Tunakufuatilia Achana Nawatu Wa Dar Wajuaji Sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom