Buguruni maeneo gani mazuri yametulia?

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Jul 10, 2022
914
1,130
Next nina meeting na mchumba nataka nikutane naye Buguruni ingawa sivijui vizuri viwanja vya pale Nipeni location

Pub gani nzuri au mahalo pazuri nitulie na mtoto JoJo kuwe lodge muhimu Sana
 
watu wamevurugwa wallah, khaaah.
Mlongoo acha Kabisaa tuna kibanda kulecha urithinatamani kukihamisha nikiweke ht mbagala mbande,uzuri wa paleni centre yaani Kama magomeni vile popote unafika mda wooote ndani ya Dar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom